Serikali ya Zanzibar yakanusha maridhiano ya kurudia uchaguzi!

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha taarifa za kuwa makubaliano ya kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar yamepatikana na pande zote mbili zinazovutana zimekubaliana

Msemaji wa SMZ amesema wananchi wawe watulivu mpaka muafaka utakapo patikanaa.

Source: ITV news 8:00pm
 
msumari umeganda, wanapoteza mda tu maalim juu juu urais zanzibar
 
kama uchaguzi umefutwa basi tangaza tarehe ya uchaguzi mwengine kama unaubavu., mtaitema tu Zanzibar
Kauli waitoe wenyewe halafu wanaikanusha?! Kweli CCM maji yako shingoni kwa sasa.

Baada ya ule uchaguzi Oktoba 25/10/2015 na wao kurealize kuwa Maalim Seif kashinda Ursis, best option waliyoina wao kwa wakati ule waliona ni 'kumuamuru' Jecha aufute uchaguzi ule bila kuangalia impact itakayotokana na uamuzi huo.

Baada ya tamko la Jecha kuthibitika kuwa batili kisheria, hiyo hali ndiyo inayowafanya CCM wajikute hawana pa kutokea.
 
Tumepokea taarifa kwamba Balozi Seif Ali Iddi amehojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International (RFI) na kusema kwamba eti viongozi wa CCM na CUF WAMEKUBALIANA UCHAGUZI ZANZIBAR URUDIWE, na kinachojadiliwa hivi sasa ni NANI ASIMAMIE UCHAGUZI WA MAREJEO kwa sababu ZEC ya JECHA INAONEKANA KUTOAMINIKA.

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha taarifa za kuwa makubaliano ya kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar yamepatikana na pande zote mbili zinazovutana zimekubaliana

Msemaji wa SMZ amesema wananchi wawe watulivu mpaka muafaka utakapo patikanaa.

Source: ITV news 8:00pm

Dah! Magamba yanaruka na kukanyagana, sisi tunachohutaji ni amani na utulivu tu.
 
kama uchaguzi umefutwa basi tangaza tarehe ya uchaguzi mwengine kama unaubavu., mtaitema tu Zanzibar
Unaongea kwa unyonge sana..sasa haitemwi na uchaguzi 27 January..namshangaa yule Mpumbavu na LOfa aliyejitangaza mshindi hana ata ubavu wa kujiapisha mngese..Ajaribu ndio atajua maana ya SMZ
 
Back
Top Bottom