Serikali ya visasi mpaka lini?

Serikali ya visasi mpaka lini?

Mafisadi wanalia na kusaga meno.Mbona kazi bado kabisa?hii ni rasha rasha tu
huwa nashindwa kuelewa watu wanaomsifia ngosha wanatoka sayari gani maana katika hali ya kawaida kumsifia huyu mzee inabidi uwe na hitilafu kwenye mfumo mzima wa fahamu (kichaa)
 
Unataka tumsifie Lowassa?
 
didnt vote for him so hana faida wala hasara na mimi he's on his life am on my own.
 
Sasa unasubiri nini?njoo tufuge samaki na tulime na njegere huku,zina soko kubwa Rwanda,burundi na DRC
Kwa maneno haya unatoa tafsri ya kwamba, hiyo miaka mitatu chuoni aliyotumia kutafuta degree imepotea bure tu!! Kazi unayomuitia haina hata chembe ya uhusiano na taaluma yake.

Poor government#poor people#
 
Kwenu Tarime?njoo Iringa huku Rungemba,hatujui kitu kinaitwa ukame,tunawashangaa mnavyotoa povu kuwa kuna njaa
Wewe ubongo wako una kutu na unatakiwa kuusugua na steel wire.
 
Mafisadi wanalia na kusaga meno.Mbona kazi bado kabisa?hii ni rasha rasha tu
HAYA NDIYO MANENO AMBAYO WANASISIEM WANAJIFARIJI MAMBO YAKIENDA KOMBO AU WAKIAMBIWA UKWELI.
Kama siyo serikali ya visasi mngekuwa meshamaliza uhakiki hewa muda mrefu ila kwa vile mnafurahi watu wanapoumia. Meanzisha uhakiki usioisha ili kuwakomoa watu.
 
Kwa maneno haya unatoa tafsri ya kwamba, hiyo miaka mitatu chuoni aliyotumia kutafuta degree imepotea bure tu!! Kazi unayomuitia haina hata chembe ya uhusiano na taaluma yake.

Poor government#poor people#
Hya muache akae asubiri kazi aliosomea
 
Kwenu Tarime?njoo Iringa huku Rungemba,hatujui kitu kinaitwa ukame,tunawashangaa mnavyotoa povu kuwa kuna njaa
Ulienda shule kusomea ujinga. Nyie ndiyo huwa mnafikiri mvua ikinyesha kwenu basi dunia nzima inanyesha.
TZ KUNA WAJINGA WENGI SANA. WW UTAKUWA NI DVN 5. Ujasikia baadhi ya mikoa ng'ombe wanakufa kwa kukosa majani? Huku Mwanza watu wamelima lkn mazao yamekauka jua kali sana,
HIZO PA.NYA MNAZOKULA NA MBWA ZINAWAHARIBU AKILI SANA
 
Punguza povu.Tanzania tuna mikoa mitano tu ndio inalisha nchi nzima.Mwanza ni Pamba mkuu,mwanza kama mahindi ni ya bustani tuu.Halafu mnatakiwa mfuge kisasa,sio ng'ombe wako 10,000 unawalundika lazima upate ukame na mmomonyoko wa ardhi
 
Kama una shahada na umekaa nyumbani ukisubiri kuajiriwa na serikali maana yake huko darasani ulikuwa unasindikiza tu wenzako na hiyo shahada yako si lolote si chochote
Usiwe mwepesi wa kutamka maneno yanayotamkwa na vinywa vya wanasiasa, au watu wanaofundisha jinsi ya kuwa tajiri na kuwauzia vitabu watu vya jinsi ya kufanikiwa bila ya kujiuliza yeye kwanini muda mwingi anakuwa kwenye warsha na semina zinazomnufaisha huku akijipatia utajiri kwa semina na haaplay kile anachokifundisha?
CHANGAMOTO NI NYINGI,kuna wakati ukienda hata shule ya private ujitolee hupati nafasi,ukienda kiwandani angalau ukusanye kamtaji kazi hupati.Please usiwe na haraka kuhukumu wengine
 
Hya muache akae asubiri kazi aliosomea
Kila mtu na plan yake. Usifikiri kupata kaz ni rahis rahis. Yaan ukienda hata vodacom unaajiriwa siku hiyo hiyo.
Tatizo ww hauna kazi, na inawezekana uliishia darasa 2 ukakimbia shule na sasa hiv unabeba magunia stendi. Sasa unaposikia Malaika kazuia ajira unashangilia ili mteseke wengi.
Endelea kumuombea mwenzako mabaya na kushangilia km nyota yako ya punda usitegemee neema au kusimamishwa ajira ukafikiri utakuwa waziri. Ww endelea kubeba mizigo tu.
Au unafikiri ulivyochangia hiv malaika atakupa uwaziri nn? Imekula kwako. KWAN ALIPO UNAMLISHA? NA UNAFIKIRI AMEKAA KAMA WW?
 
Seam shida yako ushauriwe bure kabisa,achana na kusubiri kuajiriwa kijana muda unakwenda
 
Kila mtu na plan yake. Usifikiri kupata kaz ni rahis rahis. Yaan ukienda hata vodacom unaajiriwa siku hiyo hiyo.
Tatizo ww hauna kazi, na inawezekana uliishia darasa 2 ukakimbia shule na sasa hiv unabeba magunia stendi. Sasa unaposikia Malaika kazuia ajira unashangilia ili mteseke wengi.
Endelea kumuombea mwenzako mabaya na kushangilia km nyota yako ya punda usitegemee neema au kusimamishwa ajira ukafikiri utakuwa waziri. Ww endelea kubeba mizigo tu.
Au unafikiri ulivyochangia hiv malaika atakupa uwaziri nn? Imekula kwako. KWAN ALIPO UNAMLISHA? NA UNAFIKIRI AMEKAA KAMA WW?
Naona unashambulia binafsi na kutoa povu badala ya kutoa hoja.Wewe mwenye phd msaidie basi apate kujikimu,kukimbilia jf na kutoa mapovu hakusaidii kitu,utaungwa mkono na manyumbu wenzako,jioni stress zinarudi pale pale.
Kutonyesha mvua Mwanza unamshambulia Rais ndio analeta mvua?nyie si mna ziwa kubwa tu hapo mnalitumiaje?wewe na usomi wako unaojigamba nao umelifanyia nini taifa lako,au umefanya nini cha maana kusaidia jamii inayokuzunguka
 
Punguza povu.Tanzania tuna mikoa mitano tu ndio inalisha nchi nzima.Mwanza ni Pamba mkuu,mwanza kama mahindi ni ya bustani tuu.Halafu mnatakiwa mfuge kisasa,sio ng'ombe wako 10,000 unawalundika lazima upate ukame na mmomonyoko wa ardhi
Ushafika mwanza? Au bado una apply maarifa ya jamii uliyokaririshwa na mwalimu wako? Huku hawalimi pamba tu km unafikiri. Huku ni changanyikeni unalima pamba, shamba jingine mahindi, lingine viazi, mpunga n.k
MWANZA INAJILISHA KWA CHAKULA CHAKE (INAJITOSHELEZA)
Yaan kumiliki smartphone na kuwa na ka tv ka flat screen pamoja na ka friji basi na ww unajilinganisha na kuku wakizungu kila kitu unafikiri ni kisasa.
TZ yetu bado sana mambo yetu yanaenda kienyeji sana ndiyo maana hapo kwenu tu mezaliwa 9 na ww hauna mpango wa kuzaa watoto 2. Kwahiyo usilazimishe mambo. Km mpaka leo watu wanatumia jembe la mkono huo usasa utatoka wapi?
 
Mwanzo ulisema mwanza kuna njaa,ukame mpaka mifugo inakufa.baada ya kukupa challenge,umegeuka mwanza inajitosheleza,sasa ulikuwa unalia nini dada,au siasa chafu tu na wewe uonekane huipendi serikali yetu na Rais wake
 
Ulienda shule kusomea ujinga. Tatizo haujasoma nilichoandika na haujaelewa tatizo lako hizo Pa.nya mnazokula.
"Mwanza mvua hakuna'' juzi tu sengerema watu wameenda kupiga kambi kwa mwenyekit. KWELI NAWE WAKUJA. UNAFIKIRI KUMILIKI HIYO SMARTPHONE YA KICHINA NA WW UNA AKILI SANA.
Mvua hakuna kwa sasa na usifikiri mwanza tunategemea chakula cha mikoa mingine ila kwa kuwa mvua hakuna na kwa akili yako unafikiri bado tunalima.
Hali ya hewa ya iringa unataka kuifananisha na mikoa mingine? Ww utakuwa form 4 failure. Sbb uwelewa wako mdogo sana
 
Back
Top Bottom