mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 889
Mr president! Nasema na wewe. Kwanini serikali yako umeifanya kuwa serikali ya visasi, vijembe, kejeli na maneno yaliyojaa ukakasi?
Nakumbuka kipindi cha kampeni zako ulikuwa mpole, mnyenyekevu na mtiifu. Maneno yako yalivuta maelfu ya watanzania na kupelekea ushindi wako.
Nilishuhudia ulipopita moshi na msafara wako uliojazwa na wasanii kibao, ukiwa uwanja wa mashujaa, ulisema mengi ila zaidi ulisema SITAWAANGUSHA.
Mr president tayari umeshatuangusha. Tunakwambia tuna njaa, unatuuliza "kwaiyo nikawapikie?". Hatukutegemea.
Sasa maisha ni magumu kwa watanzania masikini, tunayo njaa, hali ya ukame imeshamiri, ila hutaki kusikia.
Hali ya uchumi siyo nzuri, makampuni yanatangaza hasara, mashirika yanafirisika na watu mmoja mmoja wanazidi kuwa maskini, Mr president nini tafsiri ya hiki?
Uchumi wa nchi unaporomoka, uko bize kulipa kisasi kwa mahasim wako, na siku hizi kila kitu kimekua uchochezi, panueni magereza tutoshee maana hatutanyamaza ila tutanena ukweli.
Agenda yako kuu ikulu imekuwa kushughurikia upinzani, unafunga wapinzani, hutaki kusikia mtu anakukosoa. Hii siyo siasa, iga mfano kwa trump, ni rais pekee aliyetokea kuchukiwa marekani, but he is busy keeping every American on the lope whether like him or not. Huu ndio ukomavu wa kisiasa, na siyo kuwa alert tu na yasiyokupendeza.