Serikali ya Uingereza kuvunja uhusiano na Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Uingereza kuvunja uhusiano na Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Dogo, Jul 3, 2011.

 1. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Baada ya waziri wa mambo ya nje wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitolea maneno ya dharau na shutuma nchi ya uingereza juu ya sakati la fedha za rejesho la rada, nchi hiyo inajiandaa kujibu mashambulizi kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kufunga ofisi zake nchini humo. Kazi kwenu watz!
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Hatuwahitaji kwani hao wanasaidia nini hii nchi hata kama ni misaada yao ya nipe nikupe wanaifaidi viongozi to hell...kwanza ilitakiwa sisi tuywe wa kwanza kuwatimua hawa majizi na mauaji ya Uk..
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wewe unafanyakazi office of UK's Prime minister!?
   
 4. T

  Technology JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mzee Dogo: are you happy with that? what is your opinion?
   
 5. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si ajabu, hata mwalimu alishaga wapiga chini. wachina wapo hatuwezi kuumia.
   
 6. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  sina kazi na sihitaji..
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Source, please!
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ka masikini jeuri.
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hata hii ni taarifa?
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kama ni Tetesi si ungeweka kwenye jukwaa la udaku?

  Hakuna kitu kama hicho, si rahisi wala mikataba ya Commonwealth Countries hairuhusu, hiyo ni tetesi ya kutoka kwako binafsi.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mue mnafikiri kabla ya kupost
   
 12. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Naona unataka kuongeza posts ili uwe JF Senior Expert Member!
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuvunja uhusiano huwa hatua ya mwisho bado uhusiano wetu haujafika huko,pamoja na matatizo baina ya Iran na UK miaka yote hii lakini bado wana uhusiano wa kibalozi sembuse sisi,huu sio ukweli uliota jana usiku.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Si uwaambie mods watoe icon ya Tetesi kwenye jukwaa la siasa kuliko kumlaumu mtumiaji.
  Eti mkataba wa Commonwealth hauruhusu usilazimishe urafiki kwa mgongo wa mkataba.
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ukidharau upele jiandae kutibu jipu
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  UK is the largest contributor wa General Budget support (GBS). For Financial Year 2010/11 walitoa 29.4% ya total GBS wakati Word Bank walitoa 21.5%. Kumbuka hapa ni hela zinazoenda moja kwa moja hazina, bado UK inachangia Basket Funds na Project Funds.

  Haya matishio ya Membe ni sawa na original comedy ndio maana hata ubalozi wao hapa Tz hasumbuki kumjibu. Na kama TZ ina ubavu, wafunge ubalozi wao London. Wakati mwingine nadhani wanasiasa wanatuhadaa kupita kiasi sisi wananchi.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ingekuwa kweli ningefurai sana as hatustaili misaada to me iyo misaada ndo inayotulemaza sasa kama una akili unaweza tenga bil 900 kwa ajili ya posho?Wakiacha kutoa misaada tutajipanga tuu
   
 18. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa utawezaje kupost bila kufikiri, au unataka nitumie fikra zako?
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,776
  Trophy Points: 280
  Thanks sana mzazi for this.. Nadhani hii inatoa jibu sahihi kwa hao wanaouliza serikali ya uingereza na BAE kwa nini wanatupangia namna ya kutulipa hizo hela tulizojiibia wenyewe.
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Kama ulikuwa kwenye akili yangu vile. Hii inayoitwa misaada imechangia sana kutulemaza nchi hii.
   
Loading...