MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Wamekanusha kuhusu chanzo cha sumu,vipi kuhusu uhusika wa Russia kwenye kifo cha yule double agent?
Isije kuwa mwanzo walimu underate Russia na sasa wamemuona jinsi alivyo mkubwa
Wale wana diplomasia wa urus walio timuliwa vipi watarudishwa?
Hawa kuna kitu walikuwa wanakitafuta, siyo bure nchi zilizojaa wasomi wakubwa vile kukurupuka tu....!Aibu kwa Marekani sasa katimua timua watu kumbe Russia haina mkono wake.
KUna watu humu wanamsujudia uingereza na marekani hata kuzidi MunguHabari za hivi punde,
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imekanusha usemi ambao unadai kwamba wao walisema ile sumu ya Novichok imetokea nchini Urusi. Hili limekuja baada ya Wanasayansi wa jeshi nchini Uingereza kudai kwamba wamepima na hawajui ile sumu imetokea nchi gani tofauti kabisa na ambavyo Serikali kupitia Wizara yake ya mambo ya nje imedai.
Sambamba na hilo,
Wizara ya Mambo ya nje inasema imefuta kabisa ile Tweet ambayo ilikuwa inadai kwamba Urusi wamehusika na hili jambo. Pia Warusi wamesema kwamba Organization Against Chemical Weapons (OACW) inabidi iwahusishe Warusi katika huo uchunguzi wao ili kuzuia Uingereza kuharibu na ushahidi.
MASWALI:
1. Kwanini Serikali ya Uingereza inajikanyaga katika hili ???
2. Hivi hata kule Syria Assad alitumia silaha za sumu kweli au nako walikurupuka tu ???
3. Je, tunatakiwa tuwaamini hawa watu na vyombo vyao vya habari wakati wana ndimi mbili ??
4. Je, kwanini walikuwa radhi kuhatarisha Usalama wa dunia kwa madai yasiyo na ushahidi ???
5. Nchi ndogo za Afrika ambazo hazina vyombo vikubwa vya habari tutakuwa tumesingiziwa mangapi kwa tabia hii ya kukurupuka ???
CHANZO:UK Foreign Office denies claiming nerve agent from Russia, despite tweet and Boris Johnson interview
CC: TUJITEGEMEE , Palantir , zitto junior , weed , BlackPanther, Red Giant
Siku zote nasema, hawa jamaa watafanya chochote kuhakikisha maslahi yao haya athiriwi au yanaboreshwa.
Toka mwanzo nguvu kubwa ilikua inatumika kuichafua Urusi na kuhamasisha nchi nyingine kuchukua hatua dhidi ya Urusi kwa hii tuhuma huku warusi wakishinikiza uchunguzi huru ufanyike na majibu yaonyeshe uhusika wao, cha ajabu masusio ya kombe la dunia na kufurumusha wanadiplomasia wa kirusi ndio ikapewa kipaumbele.
Kuna mambo mengi sana yamejificha juu ya hili sakata, unaweza kukuta ni mchezo wa hao hao Waingereza walitaka kumuuzia kesi na kumchafua Mrusi, hata kwa wenzetu kuna wakati mipango inagoma kwenda kama ilivyopangwa.
Uzuri wataalam wa jeshi limegomakutumika kisiasa.
Je, mchezo kama huu, unaweza kuwa ndio unaofanyika na watu wasiojulikana, ili serikali yetu ionekane ndiyo inayohusika na hivyo kufarakanishwa na wananchi wake? Au kujenga sababu za kuhalalisha mataifa ya nje kuiingilia nchi yetu ili kukidhi matakwa ya wazungu (rejelea mashtaka ya akina Lema - Chadema kwa balozi wa EU)?Hapo wanathibitisha jambo moja kwa namna nyingine!
Kwamba, yeyote among military players anaweza kuipata hiyo sumu!! Kwamba, kuwa ni bidhaa ya Kirusi haimaanishi ni Warusi tu ndio wanaweza kuwa nayo!
So, kama anyone among the players anaweza kuipata hiyo sumu; kwanini ionekane ni Russia pekee ndio wanaweza wakawa wamehusika?!
Jibu la haraka ni kwamba Russia ndio wanaweza kuwa na interest na Sergei Skripal!
Kama ndivyo, kwanini ionekane ni Russia peke yao ndio walikuwa interested na Sergei wakati jamaa alikuwa ni Double Agent?
What if wakati MI6 wanadhani Sergei ni wao; GRU walimshitukia kwamba alikuwa anatoa siri kwa MI6 lakini "salama" yake aendelee kuwatumikia MI6 with fabricated or less harmful Intel ili mradi tu MI6 waendelee kumuamini kumbe huku akiwadukua mdogo mdogo in favor of Mother Russia!
Kwamba, hata Sergei alipokuja kukamatwa baadae na kuwa charged with high treason charges; yote hayo ilikuwa ni GRU play!!
But miaka kadhaa baadae, MI6 wanagundua kumbe miaka yote hii walikuwa wanachezewa na GRU wakisaidiwa na Sergei anayeishi kwa pesa za Walipa kodi wa UK!
What if MI6 au washirika wake hawakuweza kuvumilia kufanywa maboya kiasi hicho na kuamua kumpeleka Sergei alikostahili kupelekwa!
But HOW? "Genius" way ni kutumia Russia's killing machine with SVR's assassination style ili kuwa-set up the Russians!
Hapo wanathibitisha jambo moja kwa namna nyingine!

NdioWale wana diplomasia wa urus walio timuliwa vipi watarudishwa?
Wasomi au matapeliHawa kuna kitu walikuwa wanakitafuta, siyo bure nchi zilizojaa wasomi wakubwa vile kukurupuka tu....!
Tumewaamini. Tuendelee kuwaamini.Habari za hivi punde,