Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 607
- 1,097
Maisha ya wakimbizi katika kambi zilizopo Tanzania ni zaidi ya wafungwa.
hao wakimbizi ni ndugu zenu, mbona wanaishi zaidi ya wafungwa.
Embu fikiria mkimbizi katika kambi hizo
Haruhusiwi kufanya biashara ya aina yoyote hata kuuza nyanya.
Haruhusuwi kufuga hata njiwa yaan asiwe na mifungo nyumbani kwake.
Haruhusiwi hata kutembelea vijiju jirani na ukitaka kufanya hivyo basi uwe na vibali, vibali vyenyewe lazima utoe pesa. sasa pesa anatoa wapi mtu wa aina hii.
Embu tujadalini kwanza, hivi mnafikiria hawa ndugu zenu wanaishi vipi, mtu una miaka zaidi ya 30 uko ukimbuzini bila kupewa hata mwanya wa kufanya maendeleo au furaa zingine. hii ni kweli.
Wapeni wakimbizi vibalu na uhuru wa kwenda hata sehemu zingine kujitafutia Riziki, maisha ya kambi ni magumu kuliko mnavyofikiria.
Mtu mmoja hawezi kula kili Tatu za unga, na kilo moja ya maharagwe kwa muda wa mwezi mzima.
Tanzania liangalieni hili utawaua ndugu zenu, igeni basi majirani zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda na nchi zingine kuna kambi za wakimbizi ndio ila wakimbizi wanapewa fursa za uwekezaji katika nchi hizo. yaan ni tofauti kabisa na mfumo huu wa Tanzania.
Hivi mtu anaishi ukimbizini miaka 30 hata bara bara ya lami hajawahi kuona kweli?.
Na hili mkalitazame
Asante