Serikali ya Tanzania iwajibike kwa wakimbizini kutoka Congo na Burundi.

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Maisha ya wakimbizi katika kambi zilizopo Tanzania ni zaidi ya wafungwa.

hao wakimbizi ni ndugu zenu, mbona wanaishi zaidi ya wafungwa.

Embu fikiria mkimbizi katika kambi hizo

Haruhusiwi kufanya biashara ya aina yoyote hata kuuza nyanya.

Haruhusuwi kufuga hata njiwa yaan asiwe na mifungo nyumbani kwake.

Haruhusiwi hata kutembelea vijiju jirani na ukitaka kufanya hivyo basi uwe na vibali, vibali vyenyewe lazima utoe pesa. sasa pesa anatoa wapi mtu wa aina hii.

Embu tujadalini kwanza, hivi mnafikiria hawa ndugu zenu wanaishi vipi, mtu una miaka zaidi ya 30 uko ukimbuzini bila kupewa hata mwanya wa kufanya maendeleo au furaa zingine. hii ni kweli.

Wapeni wakimbizi vibalu na uhuru wa kwenda hata sehemu zingine kujitafutia Riziki, maisha ya kambi ni magumu kuliko mnavyofikiria.

Mtu mmoja hawezi kula kili Tatu za unga, na kilo moja ya maharagwe kwa muda wa mwezi mzima.

Tanzania liangalieni hili utawaua ndugu zenu, igeni basi majirani zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda na nchi zingine kuna kambi za wakimbizi ndio ila wakimbizi wanapewa fursa za uwekezaji katika nchi hizo. yaan ni tofauti kabisa na mfumo huu wa Tanzania.

Hivi mtu anaishi ukimbizini miaka 30 hata bara bara ya lami hajawahi kuona kweli?.

Na hili mkalitazame
Asante
 
maadamu sio wanyarwanda, kwakweli tunatakiwa kuwasaidia. wacongo na warundi ni ndugu zetu sana.
 
Wakimbizi waliopo Malawi naona wako free sana.Utakuta Viduka vingi mtaani ni wabururundi, warwanda na wakongo. Jamaa wako huru kiasi ingawa kuna muda mamlaka hufanya operations za kuwarudisha makambini. Ukienda malawi, wakimbizi asilimia kubwa wanaishi kama Raia wengine tu mitaani. Wasiotembea kidogo watakuja na porojo za usalama wa nchi.
 
Tanzania inapaswa kuwajibika katika hili. mbona Tanzania na wakongo mna urafiki mzuri lakini wakimbizi wanaishi kama wafungwa katika nchi yenu
 
Huamiaji kubadiri uraia ofisi zipo wazi

Sasa wanaenda wapi wakati hawaruhusuwi hata kutoa nje ya kambi.

Uraia wenyewe hamtaki kuwapa, mtu ana miaka 60 kwenye kambi za wakimbizi bado mnamwita mkimbizi
 
Maisha ya wakimbizi katika kambi zilizopo Tanzania ni zaidi ya wafungwa.

hao wakimbizi ni ndugu zenu, mbona wanaishi zaidi ya wafungwa.

Embu fikiria mkimbizi katika kambi hizo

Haruhusiwi kufanya biashara ya aina yoyote hata kuuza nyanya.

Haruhusuwi kufuga hata njiwa yaan asiwe na mifungo nyumbani kwake.

Haruhusiwi hata kutembelea vijiju jirani na ukitaka kufanya hivyo basi uwe na vibali, vibali vyenyewe lazima utoe pesa. sasa pesa anatoa wapi mtu wa aina hii.

Embu tujadalini kwanza, hivi mnafikiria hawa ndugu zenu wanaishi vipi, mtu una miaka zaidi ya 30 uko ukimbuzini bila kupewa hata mwanya wa kufanya maendeleo au furaa zingine. hii ni kweli.

Wapeni wakimbizi vibalu na uhuru wa kwenda hata sehemu zingine kujitafutia Riziki, maisha ya kambi ni magumu kuliko mnavyofikiria.

Mtu mmoja hawezi kula kili Tatu za unga, na kilo moja ya maharagwe kwa muda wa mwezi mzima.

Tanzania liangalieni hili utawaua ndugu zenu, igeni basi majirani zetu wa Kenya, Uganda na Rwanda na nchi zingine kuna kambi za wakimbizi ndio ila wakimbizi wanapewa fursa za uwekezaji katika nchi hizo. yaan ni tofauti kabisa na mfumo huu wa Tanzania.

Hivi mtu anaishi ukimbizini miaka 30 hata bara bara ya lami hajawahi kuona kweli?.

Na hili mkalitazame
Asante
Mkuu umehifadhiwa kwa jiran unalalamika nyege unataka akupe na mkewe
 
Wakimbizi jinsia ya ME ni ruksa kurudi kwao, ila jinsia ya KE wabaki Tena wale wenye makalio makubwa makubwa. 😄😄😄😄🌚🌚🌚
 
Ukiwapa uhuru watadowea wagome kurudi kwao hali ikitulia, tuendelee kuwabana hivihivi hali ikikaa sawa kwao warudi. Mfano wakimbizi wa Burundi kwanini wabaki hapa kwani kwao kuna vita sasa hivi?
Sasa imagine wangekuwa wanamiliki mashamba na mifugo si ndio kabisa wangezaliana na kuishi hapa. Unajua kisa cha Banyamurenge wa Congo wenye asili ya Rwanda?
 
Ni suala la kiusalama katika Kambi za Daadab na Kakuma za kenya na zile za Tanzania (proximity to the conflict source zones)
 
SERIKALI IKAE KUFIKIRIA WANANCHI WAKE AU WAKIMBIZI ..MUDA WA KUFANYA SIASA NA KUFISADI WATAPATA WAPI?

Nu kuwaoa Vibalu tu vya kutembea Mikoa yote Tanzania mkuu ili na wao wajitafute. mtu miaka 60 katika kambi za wakimbizi kweli?
 
Ukiwapa uhuru watadowea wagome kurudi kwao hali ikitulia, tuendelee kuwabana hivihivi hali ikikaa sawa kwao warudi. Mfano wakimbizi wa Burundi kwanini wabaki hapa kwani kwao kuna vita sasa hivi?
Sasa imagine wangekuwa wanamiliki mashamba na mifugo si ndio kabisa wangezaliana na kuishi hapa. Unajua kisa cha Banyamurenge wa Congo wenye asili ya Rwanda?

Mbona kenya kuna wakimbizi, Uganda wapo na wako huru
 
Mbona Kenya kuna mashambulizi ya kigaidi na Uganda yapo. Na wakimbizi wapo huru.
Mbona Kenya kuna bandits wanamiliki silaha na kuiba mifugo. Mbona Uganda kuna kundi la waasi.
Vipi hapo unaona mlinganyo unaotafuta.

Nimekuuliza kwanza, Burundi kuna mgogoro gani unaofanya wakimbizi kutoka huko mpaka leo wabaki Tanzania?
 
Back
Top Bottom