Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,110
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania.

Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.

Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.

Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k

DW - Kiswahili

Tanzanians who live or travel to Rwanda should do so freely and comfortably with no fear of persecution, Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo has emphasised amidst the ongoing expulsion of Rwandans from Western Tanzania.

Speaking at a news conference in Kigali yesterday, the minister said that recent pronouncement of Tanzanian President Jakaya Kikwete regarding negotiations with DRC-based FDLR militia, will not disrupt strong ties between Rwandans and Tanzanians.

"Not only are we neighbours, we have strong ties among our people, we have blood ties, we have business ties, and we have a lot that brings us together," Mushikiwabo said, also taking the opportunity to welcome Tanzanians in Rwanda.

"They can live here for as long as they wish. We consider them our own people in the East African Community."

Mushikiwabo is also the government spokesperson.

The suggestion made by Tanzanian President Jakaya Kikwete in May this year that the Rwandan government negotiate with the FDLR sparked outrage in Rwanda.

The FDLR, whose French acronym means the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda, is made up of members who are largely responsible for the 1994 Genocide against the Tutsi in which over a million people died in a three-month slaughter campaign.

The group, which the UN has also branded a terrorist organisation, has been involved in creating instability in eastern Congo. The group has been involved in a spate of attacks in Rwanda including a grenade attack last month that killed three people and injured dozens.

Mushikiwabo said that Rwanda's policy towards the militia has always been clear and is not about to change, a statement she made several times at the news conference, urging whoever suggests that Rwanda should engage FDLR in negotiations to forget about it.

"When you are associated with genocide, you should be an enemy of everybody," she said, also explaining that "there should be clarity about why Rwandans are unhappy" when it comes to any ideas that recommend talking to the FDLR.

Expelled Rwandans

Meanwhile, Mushikiwabo said that the government will receive and protect Rwandans who are being expelled from Tanzania based on claims that they are illegal immigrants. She noted that it was regrettable that Tanzania did not consult Rwanda before kicking them out.

"There was a decision made, we were not consulted and our obligation as a state and as a government is to offer protection to the people coming to us and that's what we have been busy doing," she said.

Rwandan families, including those who have lived in Tanzania since the 1950s, have for the past three days been arriving through Rusumo border after President Kikwete instructed local officials to give only two weeks to the so called "illegal" immigrants to leave the Kagera Region, which shares borders with Rwanda.

The New Times' Bureau Chief in the Eastern Province, Stephen Rwembeho, said that some Tanzanians of Rwandan origin have also arrived in Rwanda after their citizenship and other residential documents were torn up and destroyed by local officials in Tanzania.

The Ministry of Disaster Management and Refugee Affairs (MIDMAR), in conjunction with Kirehe District authorities have begun preparations to settle the expelled Rwandans. By press time, nearly 300 had registered with Rwandan Immigration officials.

Extradition of M23 commanders

Updating journalists on how Rwanda is handling DRC's request for the extradition of former M23 commanders who are on Rwandan territory, Mushikiwabo said that it is not unusual that there is a long process before decisions on extradition requests are made.

Rwanda has already requested the DRC government to send documents containing records of suspects, their charges and evidence against them, as well as legal references forming the basis of prosecution of each suspect.

The Congolese government has asked Rwanda to extradite the former political leader of M23 Jean-Marie Runiga and former military commanders Baudouin Ngaruye, Eric Badege and Innocent Zimurinda, so that they can face prosecution back home.

"It is a process. Don't just think that Rwanda would immediately put someone on a plane and send them back upon receiving the request," Mushikiwabo told reporters. She also pointed out that Rwanda does not extradite suspects to countries that have the death penalty.

The fighters crossed into the country in March to escape divisions in M23 group and are currently interned in a temporary facility as required by international laws applicable to persons who have fled armed conflicts.


Comments

Is Expelling Tanzanians of Rwandan origin = Drive outs of Indians in Uganda by Idi Amini Dada? or not. I think a neighbor is worth than a friend or a relative. Our Politicians should think twice or more.

comment-37f.png
09:29:16 Friday 09th, August 2013 NYAMIRAMBO - RUTA
Reply | Close


While HE Kikwete came recently and will be gone tomorrow, Tanzania(ns) and Rwanda(ns) have always been and will hopefully always be. This stand of the Rwanda government I believe is based on this premise.
My humble advice to HIM (JMK) is to cease separating families no matter who or what he is trying to please or appease. The woman who was rudely separated from husband and children can cause such calamity as the whole of TZ can regret for a very long time.
It is from such issues that national curses originate from. Elders and religious leaders here have a task of cautioning HE JMK who may not be well versed in matters of history and/or tradition that his actions can cause unbearable consequences.
HE should also be cautioned to desist from liaison with FDLR. None has ever dined with interahamwe and lived to tell the tale. Mobutu, Kabila, Mitterrand, Obote.....they all died horribly and their descendants are paying dearly with overburdened consciences.
Desist JMK and retire honourably as your predecessors.

comment-37f.png
10:09:49 Friday 09th, August 2013 Kacyiru - Kennedy Maridadi
Reply | Close


Let me tell you two things: 1)If those people expelled from Tanzania are real and genuine Rwandans, then let us Welcome them back home. "Ahatari iwanyu si iwanyu" .2)We should however draw a lesson from what is happening now; and that is: People in the EAC member states are being told lies (by their officials) about integration. Facts are there to tell us the truth.

comment-37f.png
10:40:55 Friday 09th, August 2013 Kigali - John
Reply | Close


from the word go, Tanzanians were not ready for the integration. I now see the reason there was a meeting among three heads of state out of 5 in the EAC. The meeting was only for those who see positive results in the integration (the fast movers) while others are still held in inconsequential plans of expelling a common man from undeveloped jungles of Karagwe

comment-37f.png
11:47:59 Friday 09th, August 2013 Kigali - Seth
Reply | Close


The DRC government is just being run by jokers. The various international laws and protocols bar Rwanda from refouling individuals to countries where they might face torture and degrading treatment.
Going by the fate of the Kinyarwanda speaking FADRC and the captured M23 soldiers by the DRC government troops and their acolytes, there is no doubt that the latter is a torturous government. It would thus be pertinent for the Rwandan government not to hand over the renegade M23 officials under their custody to the DRC government.

comment-37f.png
12:43:53 Friday 09th, August 2013 United Kingdom - Moses Wamba


SOURCE; THE NEW TIME
 
artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?
 
Last edited by a moderator:
haina shida muhimu ni raia kufata taratibu za nchi wanakokwenda na hata kama watanzania wakienda Rwanda wasifate masharti ya kuwa raia harali basi wafukuzwe,sisi ndo tunaoumia kwani nchi yetu inawindwa sana kwahiyo lazima tuzingatie sheria za kuingia na kutoka
 
Majuto mjukuu, wamekumbuka shuka kumekucha. Imewabidi kutumia lugha ya kupoza, ingawa mwishoni wamesiliba kuwa watawapinga FDRL na wanaowaunga mkono kwa nguvu zote. Nadhani wamemaanisha J.K

Too late, no retreat!
 
Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.
hapo bolded italic,iwasiliane sasa,jinsi ya kujua wataondokaje na kupokelewa vipi ,je walipoingia ninyi wanyarwanda mliwasiliana na Tanzania jinsi ya kuondoka rwanda na vile wangepokelewa hapa tanzania?/wote wanaoishi iligally they must go!!!!!!!!!
 
Nadhani Waziri anakosea Tanzania haifukuzi Wahamiaji halali wa Kinyarwanda....

Pena Kuhusu watanzania Kuingia Rwanda ...wanaingia kihalali Kama waapo Wahamiaji haramu wafukuzwe...hatutaki kufuguga Tatizo la kuwa na wageni nchini ambao baadaye watataka kuanzisha mamlaka na kuisumbia serikali
 
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.

Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
 
fikirikwanza; Mpaka sasa Wanyarwanda zaidi ya 300 wamefungasha virago kurudi nchini kwao huku wengine wakihangaika kwani hawana ndugu wala jamaa maana walikimbia mauaji ya Kimbari na wamekulia Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Huyu waziri she utters non sense! Tanzania haijawafukuza wanyarwanda wanaoishi TZ kwa taratibu ila inawafukuza wanyarwanda ambao wamevamia maeneo yetu kinyume na kujimilikisha..Anasema waTz hawatafukuzwa Rwanda kwan wamevamia na hawana vibali? km wapo wapewe siku 3 waondoke Rwanda! JK usirudi nyuma hakikisha wanyarwanda na wengine wote wanaoishi bila vibali waondoke mara moja asitake tumuonee huruma ili waendelee kuzaliana na baadae waombe uraia...
 
artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?

Stop being Kagame sympathaizer!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom