Serikali ya Rais Magufuli Ni Serikali ya wanyonge?

Serikali ya Rais Magufuli Ni Serikali ya wanyonge?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
mnyonge.jpg
 
twendeni nao tu,kwa shida hivyo hivyo, lakini lazima tufike tunakokwenda hata kama na lapu lapu la shati baada ya vuta nkutuke almanusura shati kuchanika, ila mhimu tufike.
 
wananchi wameanza kuteseka wewe unasema ni feki kweli ccm inaharibu vijana
Mimi sina chama ila nadhani ni feki sababu hela mtaani ngumu alafu niambie nitoe kodi ya chips?
Pesa ngumu uniambie nitoe kodi ya jengo?
Pesa ngumu unambie mama lishe atoe kodi?
Pesa ngumu uniambie bodaboda nilipie kodi?
Naitwa mnyonge ili ninyongwe na makodi kibao hivyo ?
 
kwani huo ugumu si ndio unasababishwa na mambo kama haya
 
Lipa Kodi kwa manufaa yako na taifa lako...! kuwa mzalendo lipa kodi...

bahati mbaya nasikitika wana wasahau sana wasafirishaji wa magari ya mizigo na abiria (masafa marefu na mafupi)
 
Kodi inayofuata ni ya kufanya matusi... Kila round unachajiwa[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] tumekwisha laana imeshuka katika awamu hii ya tano yaani yeye kila akiamka anawaza akwapue wapi pesa, lakini alisema anataka tuishi kama mashetani ila dawa yake inachemka.
 
Back
Top Bottom