RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,446
Kwahiyo unahisi Hao wanaotoza Kodi mwaka Mzima Anafanya Biashara hapati Elfu 10?kwakua unayo
Yaani Unauza Kuku , una bar, una hotel umepangisha hupati elfu kumi.... Tuache Kufuru
Kwahiyo unahisi Hao wanaotoza Kodi mwaka Mzima Anafanya Biashara hapati Elfu 10?kwakua unayo
Ndio maana yake awamu hii mnyonge ananyongwa na haki yake hapewi.Mimi sina chama ila nadhani ni feki sababu hela mtaani ngumu alafu niambie nitoe kodi ya chips?
Pesa ngumu uniambie nitoe kodi ya jengo?
Pesa ngumu unambie mama lishe atoe kodi?
Pesa ngumu uniambie bodaboda nilipie kodi?
Naitwa mnyonge ili ninyongwe na makodi kibao hivyo ?
Tangazo lako "FEKI" why tangazo lolote la serikali lazima liwe na nembo ya taifa/halmashauri/mji/jiji.....usifikiri wote ni "wajinga".
Baiskeli ipo mkuu.Kodi ya kichwani na baiskeli wamesahau, hureeeeehhhh!!!!!!
Mimi mwenyewe bado sijaliewa hili tangazo ila inawezekana baadhi ya viongozi wa vijiji wanataka kumwangusha mh.Dr. Professori. Magufuli J PTangazo lako "FEKI" why tangazo lolote la serikali lazima liwe na nembo ya taifa/halmashauri/mji/jiji.....usifikiri wote ni "wajinga".
Ni feki hilo mkuu tangazo lolote la serikali kuu na ndogo lazima liwe na nembo.Mimi mwenyewe bado sijaliewa hili tangazo ila inawezekana baadhi ya viongozi wa vijiji wanataka kumwangusha mh.Dr. Professori. Magufuli J P
Kodi ya kichwa yajaHe he he he
Kwa hiyo kufuga paka na bata imekuwa nongwa nchi hii mpaka kuanza kutozana kodi??
Ipo siku wataanza kutoza kodi mpaka wafuga misukule....
😳😳😳Kodi inayofuata ni ya kufanya matusi... Kila round unachajiwa[emoji24][emoji24][emoji24]
Utafika nguo imeisha matako yote yako nje masela waishie kukubambia tu.twendeni nao tu,kwa shida hivyo hivyo, lakini lazima tufike tunakokwenda hata kama na lapu lapu la shati baada ya vuta nkutuke almanusura shati kuchanika, ila mhimu tufike.
Inawezekana aseeHili tangazo litakuwa feki
Hahahahaha ipo mkuu? asee nakumbuka miaka ya 90 nikiwa kijijini jamaa walikua wanaweka kamba njiani kwa ukaguzi wa stika asee walinivutia kamba nilibinuka na kuanguka chini kama gunia du! Ikirudi itakua balaaBaiskeli ipo mkuu.
Hahaaa mi ngoja nsubirie lesen ya ualimu cjui ni sh.ngapi awamu hii kaleni maweeeHe he he he
Kwa hiyo kufuga paka na bata imekuwa nongwa nchi hii mpaka kuanza kutozana kodi??
Ipo siku wataanza kutoza kodi mpaka wafuga misukule....
Kodi ya kisima cha maji
me nafuga MMBWA nimisamihiwa[emoji196] [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
duh! na mduwara jeeKodi inayofuata ni ya kufanya matusi... Kila round unachajiwa[emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu umesoma vizuri tangazo?Nyumba zote hizo zikilipa kodi ya 20000/- tuna fika mbali sana kwa maendeleo yetu...
Tulips Kodi... tusi zoee kuletewa kwa msaada wa watu au walipa kodi wa marekani, denmark Japan Korea nk... wakati nasi twaweza lipa kodi kwa manufaa yetu...