Serikali ya Rais Magufuli Ni Serikali ya wanyonge?

Serikali ya Rais Magufuli Ni Serikali ya wanyonge?

chini ya serikali ya ccm
unaweza kujikuta unalipa kodi zaidi ya 20..
kwa mfano ;
wakikupa kimshahara wanakikata kodi, kukitoa bank wanakikata, ukikifungulia biashara wanakikata, ukikipeleka dukani wanakikata tena utasikia vat na blabla, ukimaliza kupika msosi taka wanakikata tena, unapolala kwenye nyumba yako wanakikata tena, kama ulikinunulia kibajaji wanakikata tena..
ukija mwenge wanakikata...
KWA NINI HUU MSHAHARA KWENYE MFANO USIITWE
k i h e n k a cha CCM ?
maana watakwenda kutukana watu kwenye majukwaa wakishuka kifuta jasho chao ni jasho lako ulilovuna mnagawana !
 
Mkuu umesoma vizuri tangazo?

20,000/= mpaka 200,000/=
Si bora tukapange nyumba za uswahilini huko.)
ndio nime soma kiongozi... hiyo ni interval, ina maana si chini ya 20,000/- na haito zidi 200,000/- hivyo sizani kama kuna atakaye lipishwa gharama ambazo hazi muusu... mh. alitoa ufafanuzi kuhusu kodi ya majengo kwa TRA. ni kuanzia 10,000/- kwa wilayani huko na 20,000/- huku kwetu mjini na pia kwa kila ghorofa alitaja bei yake tatizo lipo wapi mkuu..??

tuta panga usiwe na hofu... kinacho takiwa watu walipe kodi haiwezekani wewe umlipe pesa yote mwenye nyumba bila serikali kupata kitu wakati ana Fanya biashara, na wakati huo huo mama ntilie na boda boda wana lipa kodi...

Mimi ombi langu siku zote ni kuwa na agency au kuipa wizara ya ardhi mamlaka ya Ku regulate prices about land issues zote majengo, viwanja na bei zake, nk... sio huu uolela olela uliopo sasa...
 
chini ya serikali ya ccm
unaweza kujikuta unalipa kodi zaidi ya 20..
kwa mfano ;
wakikupa kimshahara wanakikata kodi, kukitoa bank wanakikata, ukikifungulia biashara wanakikata, ukikipeleka dukani wanakikata tena utasikia vat na blabla, ukimaliza kupika msosi taka wanakikata tena, unapolala kwenye nyumba yako wanakikata tena, kama ulikinunulia kibajaji wanakikata tena..
ukija mwenge wanakikata...
KWA NINI HUU MSHAHARA KWENYE MFANO USIITWE
k i h e n k a cha CCM ?
maana watakwenda kutukana watu kwenye majukwaa wakishuka kifuta jasho chao ni jasho lako ulilovuna mnagawana !
boss serikali gani ambayo hawakati kodi??
 
Mimi sina chama ila nadhani ni feki sababu hela mtaani ngumu alafu niambie nitoe kodi ya chips?
Pesa ngumu uniambie nitoe kodi ya jengo?
Pesa ngumu unambie mama lishe atoe kodi?
Pesa ngumu uniambie bodaboda nilipie kodi?
Naitwa mnyonge ili ninyongwe na makodi kibao hivyo ?
Huu ni mkakati wa kuongeza idadi ya maskini kumbukayamefanyika mangapi ya kuongeza maskini?
 
Huu ni mkakati wa kuongeza idadi ya maskini kumbukayamefanyika mangapi ya kuongeza maskini?
Lakini ili chakula kiwe na ladha tunatia pilipili acha ituwashe, maana ukali wa pilipili ndiyo utamu wa 2020
 
Back
Top Bottom