Serikali ya Magufuli inatia shaka

Serikali ya Magufuli inatia shaka

Magufuli hajawahi kuwa mtendaji na hata kaa awe ni mtu wa kukurupukuka
 
Wewe binti umelewa kilevi gani? Magufuli ametokana na CCM na anatekeleza sera ya CCM. Kwa kukusaidia tu, hoja za CHADEMA wapelekee wenyewe CHADEMA ambao kwa siku kadhaa viongozi wakuu pamoja na wale wawekezaji wake wa ndani walikuwa Protea Machame (hotel ya Mbowe).
Wewe wacha kutishia watu humu jukwaani lazima ujue kuwa hili ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kutoa mawazo yake na siyo lazima yakufurahishe ukitaka changia hutaki potezea
 
Inawezekana kweli CDM wangeweza kutoa mchango mzuri kuhusu hoja ya elimu bure. Naomba wachangiaji mnisaidie kuelewa, CDM ipi tuiombe mchango wa mawazo yao hii ya Lowasa au iliyokufa ya Dr. Slaa. Kwa mtazamamo wangu hizi mbili zinatofautiana mno. Ni kama ninavyoliona Mawio na Mwanahalisi kabla na baada ya Ujio wa Lowasa CDM.
Hivi kumbe CDM ilianzishwa na Slaa? Asante kwa kunifumbua macho.
 
Waziri wa elimu ameulizwa swali ni kwanini walimu wanadai hawajashirikishwa suala la elimu bure anapaniki.Jamani hawa watu wanajua wanachokifanya?

Suala la elimu bure ni mchakato unaotakiwa kujengewa msingi imara na ikiwezekana lipelekwe bungeni kutungiwa sheria,sasa pesa zinazotakiwa ni b30 lakini zimepelekwa b11.

Halafu kama ni kweli waalimu wanalalamika hawajashirikishwa, je hatuoni kama kuna tatizo hapa?

Nchi haiwezi kuedeshwa kienyeji au kibabe au kwa amri amri,suala la elimu bure ambalo ni Sera ya CHADEMA linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote wakiwemo walimu wahusishwe,huyu rais anaweza kutupeleka shimoni.
Kweli kabisa hii serikali kila kiongozi ni mbabe naona wanataka kututawala kibabekibabe
 
Magufuli hajawahi kuwa mtendaji na hata kaa awe ni mtu wa kukurupukuka



UKWELI daima ni UKWELI, na wewe nimekukubali KWELI NI MKWELI, hata kubenea wa kabla ya Lowassa sio huyu wa sasa anayemuandama Zuberi zitto kabwe na kumuacha Freeman aikaeli Mbowe aliyetorosha mabilioni ya shilingi kwenda nje ya nchi kinyemela. 😀😱
Na nyumbu wa lumumba ni nyumbu tu sawa na wagombe,kama mbowe ametorosha pesa kwenda nje mnashindwa nini kumkamata na kufikisha kwenye vyombo vya sheria?
 
huyu jamaa eti nae katoa hoja, kweli mbumbu ni wengi. aisee kakojoe ulale.
 
Back
Top Bottom