Serikali Ya Maajabu Duniani

Serikali Ya Maajabu Duniani

Eternal_Life

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
812
Reaction score
1,675
Eti unampa mtu mkopo kuanzia mwaka wa kwanza,akifika wa tatu unasema hana vigezo vya kukopeshwa!!Ni kheri usingempa kabisa kuanzia mwaka wa kwanza ili ajipange atasomaje au asiende kabisa chuo,kuliko aende alaf asitishe masomo katikati.Uko ni kufikiria kwa kutukia ma..lio.A failed system of gvt.Wote v..za tu hakuna wa kumshauri mwenzake.
 
Vituko havitaisha inji hii... mbona tutajionea mengiii....tutasoma namba hadi zitaisha
 
Muda sio mrefu tutaanza kuzisoma herufi mana namba tushaanza kuzichoka
 
Back
Top Bottom