mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,147
Ninapenda sana, ila nina wasiwasi zinaweza pangiwa Majukumu mengine.Hupendi zifike kwa walengwa?
Kwanini Mkuu na wana nia ya kusaidia Wahanga?Hao nao wanaotoa hiyo misaada ni mazuzu!
Fedha imetolewa na Serikali ya Korea KusiniHizo fedha zimetoka serikalini kweli..!?
Hebu waweke mambo wazi Jamani...
mbona naona Kama KOREA KUSINI imehusika hapo..
anyways, tunashukuru kwa msaada kwa ndugu zetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI KOREA KUSNI
Zipelekwe chattle zikajenge kiwanja cha ndege,ni muhimu sana kile
Huwa hawasikii za wenzao kwamba haziwafikii walengwa?Kwanini Mkuu na wana nia ya kusaidia Wahanga?
naona zitaenda kujenga hosptali ya rufaa chatoView attachment 450903
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elf 50,000 takribani milioni 108 kwa fedha za Tanzania kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera mwezi Septemba 2016.