pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Bahati mbaya hawa wa Korea hawaelewi kiswahili wangekua wanaelewa wasinge toa, hau kama wangetoa wangepeleka wenyewe na kugawa kwa waathirika.
Wana board
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elfu hamsini sawa na 108milioni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera.
Zimekabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje.. Mhe.Balozi Mahiga
Korea kusini au kaskazini??Wana board
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elfu hamsini sawa na 108milioni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera.
Zimekabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje.. Mhe.Balozi Mahiga
Ile mingine je ? Ilienda kwa wahusika?Ee Mungu naomba sana uwajalie waliopokea mchango huo wa waathirika wa tetemeko la Kagera... WAUWASILISHE kwa wahusika.
View attachment 450903
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elf 50,000 takribani milioni 108 kwa fedha za Tanzania kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera mwezi Septemba 2016.
mijitu mingine bana, lowasa kaingiaje hapa, au unataka uolewe uwe mke wa 2, lowasa lowasa,Zitapotea kama zilivyopotea pesa za mauzo ya chadema kwa Lowasa
Chama kikaachwa hamna hata punje ya ofisi.
Billion kumi ikalambwa yote.
....looks like your prayer was not answered!Ee Mungu naomba sana uwajalie waliopokea mchango huo wa waathirika wa tetemeko la Kagera... WAUWASILISHE kwa wahusika.
Bet won.hiyo pesa haitawafikia walengwa kama kawaida CCM wataifyonza yoote.
Bet won.Zipelekwe chattle zikajenge kiwanja cha ndege,ni muhimu sana kile
Bet won.Utaambiwa zinaenda kujenga zahanati na shule