Serikali ya Korea yatoa dola elfu 50 kwa waathirika wa Kagera

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,842
1,147
Wana board

Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elfu hamsini sawa na 108milioni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera.

Zimekabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje.. Mhe.Balozi Mahiga
 
Ee Mungu naomba sana uwajalie waliopokea mchango huo wa waathirika wa tetemeko la Kagera... WAUWASILISHE kwa wahusika.
 
15726204_1080546582056315_3654191823151628232_n.jpg

Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elf 50,000 takribani milioni 108 kwa fedha za Tanzania kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera mwezi Septemba 2016.
 
Zitapotea kama zilivyopotea pesa za mauzo ya chadema kwa Lowasa
Chama kikaachwa hamna hata punje ya ofisi.

Billion kumi ikalambwa yote.
 
Hizo fedha zimetoka serikalini kweli..!?
Hebu nyie ITV wekeni mambo wazi Jamani...
mbona naona Kama KOREA KUSINI imehusika hapo..

anyways, tunashukuru kwa msaada kwa ndugu zetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI KOREA KUSNI
 
  • Thanks
Reactions: 247
Hizo fedha zimetoka serikalini kweli..!?
Hebu waweke mambo wazi Jamani...
mbona naona Kama KOREA KUSINI imehusika hapo..

anyways, tunashukuru kwa msaada kwa ndugu zetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI KOREA KUSNI
Fedha imetolewa na Serikali ya Korea Kusini
 
Kwanini zisipelekwe Ukonga kumalizia majengo ya askari, Kagera aliyeathiriwa na tetemeko ni nani? Absurd!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom