Serikali ya Kikwete Lazima Waonyeshe Current Statistics on Poverty in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Kikwete Lazima Waonyeshe Current Statistics on Poverty in Tanzania

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitasemaukweli, Jul 3, 2011.

 1. n

  nitasemaukweli Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi tumezoa kunyimwa na kukubali kutoonyesha Data zinazohusu nchi yetu. Wakati umefika sasa na sisi Wananchi to demand Statistics zote zinahusu ripoti za poverty nchi nzima toka miaka ya uhuru. Tunajua jinsi gani kikwete anaweka mbele kifua na kupanda pipa kila leo huku nchini mwake anawanyima wananchi important information. Hili jambo la poverty ni muhimu sana tujue tumefika wapi na hasa demographic jinsi gani muda umepita na maisha yanazidi kuwa magumu. Let's be clear, Tanzania imebadilika sana na population kubwa imeshift kutoka vijijini na kuelekea mijini na hii imetokana na hali ngumu ya maisha vijijini. Jambo kubwa ni kwamba vijijini there are no jobs available na kutokana na matokeo hakuna income zozote zile. Sasa tukiangalia population kiasi gani imenyanyuka kiuchumi ni hapo ndio tumenyimwa data na Ndulu na Mkullo, wakijua wazi hii ni muhimu kwa Wachumi na professionals wengine kuweza kujadili solutions. Tunajua ukweli kwamba ccm na wanachama wake serikalinii ndio wanaongoza kwa wealth kubwa ya watanzania, sasa tunataka hizi data zije public kutusaidia kuchambua haya na sababu ni zipi?

  Tujue kabisa kwamba hata serikali ya Tanzania inapeleka hizi reports UN, IMF, na WB kwa malengo ya kupewa mikopo ila cha kushangaza hizi information haziwi public na available kwa wananchi wenyewe. Tukiangali nchi nyingi hizi reports zinasaidia kwa nchi kujipima na kutafuta solutions kwa pamoja. Mfano ni huu US, statistics lazima zitolewe kwa wananchi na sheria under their constitution, ila Tanzania wabunge wanajadili jinsi gani ya kukeep posho badala ya sheria kama hizi.

  Je Asilimia gani ya wananchi Wanaishi maisha ya highest poverty?

  Je Asilimia gani ya wananchi Wanaishi maisha ya utajiri/wealth life styles?

  Je Asilimia gani ya Wananchi hawana kazi and they had fallen in poverty line?

  Je Ukosemu wa Umeme na hali mbaya Uchumi 2011 umeathili maisha kiasi gani?

  Kwa ufupi, inchi zilizoendelea freedom of information umechangia kujenga mataifa hasa maendeleo yao. Tuangalie US kwanini siku zote watakuwa mbele na kuacha nchi kama Tanzania nyuma.


  [TABLE="class: poveritychart, align: center"]
  [TR]
  [TD="class: poveritychartblue, bgcolor: #E0EEFF, colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR="class: healthopazchartheaderrow, bgcolor: #003399"]
  [TD="bgcolor: #F27900"]Family Size
  (Household)
  [/TD]
  [TD="align: center"]Annual
  200% of Poverty Guidelines
  [/TD]
  [TD="align: center"]Monthly
  200% of Poverty Guidelines
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]1[/TD]
  [TD]$21,660.00[/TD]
  [TD]$1,805.00[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]2[/TD]
  [TD]$29,140.00[/TD]
  [TD]$2,428.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]3[/TD]
  [TD]$36,620.00[/TD]
  [TD]$3,051.67[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]4[/TD]
  [TD]$44,100.00[/TD]
  [TD]$3,675.00[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]5[/TD]
  [TD]$51,580.00[/TD]
  [TD]$4,298.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]6[/TD]
  [TD]$59,060.00[/TD]
  [TD]$4,921.67[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]7[/TD]
  [TD]$66,540.00[/TD]
  [TD]$6,168.33[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]8[/TD]
  [TD]$74,020.00[/TD]
  [TD]$1,542[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #FFD6AD"]For each additional member, add[/TD]
  [TD]$7,480.00[/TD]
  [TD]$623.33[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]
  Ukipitia hizo inform, serikali ya Tanzania kwanini wanashindwa kuproduce these inform kama sio cover up za political campaigns.

  Sio kweli wanauchumi bora na wataalamu wa maswala mengi wapo serikalini. Ukweli ni huu, serikali ya Tanzania imejaa wanachama wa ccm ambao ni incompetent na malengo ya kulinda ccm na kikwete. Ni muhimu sana hizi information na umuhimu wa transparency katika nchi tuendelee kuupigania. Hatuwezi kupewa image ya nchi ya amani na utulivu wakati Watanzania wanaendelea kunyimwa haki zao hasa freedom of information. Kwa kumalizia ni kwamba Watanzania tuwe vigilant na serikali ya kikwete na hasa Ndulu na Mkullo kwani ndio wanaoongoza kudanganya Umma kwa manufaa za ccm.

  Dk. Kitine: CCM imechafuka
  2010 Corruption Report For 178*Countries - beinformed Journal - beinformedjournal

   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii watapiga ahadi tu hakuna wanachoweza kufanya
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona IMF na WB wanapewa hizo docs kila mwaka?

  Angalia hapa chini jinsi gani Watanzania wanaendelea kuwa maskini.

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Tanzania┬┤s Exchange Rate - USD/TZS[/h][h=2]The Tanzania Shilling exchange rate (USDTZS) appreciated 9.39 percent during the last 12 months. From 2009 until 2011 the USDTZS exchange averaged 1410.79 reaching an historical high of 1620.35 in June of 2011 and a record low of 1277.90 in June of 2009. The Tanzania Shilling spot exchange rate specifies how much one currency, the USD, is currently worth in terms of the other, the TZS. While the Tanzania Shilling spot exchange rate is quoted and exchanged in the same day, the Tanzania Shilling forward rate is quoted today but for delivery and payment on a specific future date. This page includes: Tanzania┬┤s Exchange Rate - USD/TZS, historical data and news.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  [​IMG]

  Population in the largest city (% of urban population) in Tanzania  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Tanzania reported a trade deficit equivalent to 319 Million USD in March of 2011. Tanzania major exports are agricultural commodities with tobacco, coffee, cotton, cashewnuts, tea and cloves being the most important. Other exports include gold and manufactured goods. Tanzania main exports partners are India, Japan, China, United Arab Emirates, Netherlands and Germany. Tanzania imports mostly transport equipment, machinery, constructions materials, oil, fertilizers, industrial raw materials and consumer goods. Main imports partners are: China, India, South Africa, Kenya and United Arab Emirates.This page includes a chart with historical data for Tanzania's Balance of Trade.
  Tanzania Balance of Trade
   
Loading...