Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

Serikali ya DRC yajiandaa kwa vita tena

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
496
Reaction score
768
Kwa kinachoonekana, ni kuwa serikali ya DRC imejiandaa kuanzisha mashambulizi mapya kwa AFC/M23.

Hapo jana, kundi la wanajeshi na mamluki, walitua uwanja wa ndege wa Kalemie, na Badae kuelekea Uvira. Uvira bado ilikuwa mikononi mwa FARDC,Wazalendo na jeshi la Burundi.

Hapo, Doha, nchini Qatar, kulikuwa na mazungumzo kati ya M23 na serikali ya DRC, japo mara zote yamekuwa yakigonga mwamba.

Kwa inavyo onekana, rais wa DRC bado anaamini katika nguvu ya kijeshi, huku anapigana na wanajeshi.
 
Mkuu hii vita nini hasa aim yake maana wame patanishwa na dunia still wanekaza fuvu, halafu kuna habari ilikuwa A journal kuwa huko Doha congo ilikuwa inatuma unauthorised people kwenye mazungumzo kwa nini hao waasi au hata Qatar ilikuwa inawapokea? Then yule mmarekani anasema watasaini mkataba? This time around tutaona mengi ila marais wengi wa Afrika wana moto wao wa peke yao.
 
DRC vita havitakaa viishe
Kinacho gombewa pale ni kutaka kupora mkoa wa Kivu ya kaskazini na Kusini iugane na Rwanda, hiyo ndiyo ilikuwa na bado ndiyo long term plan za jamaa hawa mengine wanaleta maigizo tu!!

Bila ya kuondoa majeshi yao nchini DRC hakuna kitakacho fanyika, tutafanana kama watu wanao twanga maji kwenye KINU ,Labda International community au Trump ndiyo waingilie kati kushughulikia suala hili, jamaa hawa bila ya kuchukuliwa hatua kali watasubua sana sana katika ukanda huu wa maziwa Makuu kutokana na hulka zao za ubishi.

Tumshukuru Tshekedi kwa kutumia busara kujaribu kumaliza mgogoro huu wa kuchonga.

Tatizo hapa ni kama nilivyo Sema hapo mwanzo,je, hawa jamaa watakubali kuondoka kwa hiari yao nchini DRC? Personally I don't think so, watabuni visingizio na visingizio vya kutotaka kuondoka Congo DRC. My opinion.
 
Hahaha DRC wanataka kuona mkataba wa ulinzi walio sign na USA unafanyaje kazi.

Isije kuwa yale yale ya Iran na Russia.
 
Mkuu hii vita nini hasa aim yake maana wame patanishwa na dunia still wanekaza fuvu, halafu kuna habari ilikuwa A journal kuwa huko Doha congo ilikuwa inatuma unauthorised people kwenye mazungumzo kwa nini hao waasi au hata Qatar ilikuwa inawapokea? Then yule mmarekani anasema watasaini mkataba? This time around tutaona mengi ila marais wengi wa Afrika wana moto wao wa peke yao.
Kumbuka DRC inasemekana kuwa ndo nchi tajiri wa madini duniani kote.

Na madini yote yanayohitajika, yapo pale pale, hasa mashariki mwa nchi hiyo.

Ukweli utabaki kuwa pale pale, Afrika mashariki imeshakuwa na Israel yake. Na baba ni yule yule. Na yupo kimasrahi zaidi.
Sasa hivi, inasemekana tena maraisi watatu,walihusika kupewa madaraka kwa Big pale DRC. Hili nalo limeibuka, na linaibua mengi. Yumo wa Kenya, wa Egypt na wa South Africa. Wote hawa, kuna mikataba ilisainiwa, na ndo inaenda kuumbuka.

Mi nasemaga, DRC ilishajikaanga yenyewe, siku iliyokubali kusign mikataba.

Kwa sasa, ya DRC ni sawa na ya Russia na Ukraine kwa upande mwingine. Wa Congoman wanaozungumza Kinyarwanda, huwezi watofautisha. Ni kama masai wa Kenya, useme umtofautishe na wa Tanzania. Hivyo, hata kwenye siasa na jeshi, ni ngumu lile eneo kukaa sawa. Rais wa DRC hana nguvu ya kupambana na wanajeshi.

Dunia hii, inaendeshwa kinafiki kupita maelezo. Ukraine washikaji walishapata contracts zao, na yenyewe inazidi kuteketea.
Na huku, usitegemee US italeta jeshi la kucover nchi yote. Penye masrahi yake, mwenye uhakika wa usalama, ndo watadeal nae. Full stop.

Kuna issue ya FDLR, kwamba inatakiwa kwanza inyanganywe silaha.

FDLR, kwenye wazalendo, serikalini, jeshini, imo. Si kazi ndogo kuiangamiza. Miaka 31, walishaenea nchi nzima. Mpaka uhakika wa wameisha upatikane, si kesho wala keshokutwa.

Mpaka Rwanda inatangaza yote yale, inajua inachokiongelea, na wapi walipo. Kwa sasa, baada ya pale, walio wengi walianza kuhamia Burundi. Kumbuka, na Burundi haina mahusiano mazuri na Rwanda.

Sasa basi, unadhani wa kuihifadhi na akawa na amani ni nani?
 
Siasa za congo ni ngumu sana nahisi hata wao wanajuta kujipeleka USA, walidhani itakuwa kama China mpenda magendo, mikataba inasainiwa kwa awamu mpaka basi nahisi mpaka wanasaini mkataba wa mwisho watakuwa washasau mkataba wa mwanzo unahusu nini. Ila kikuvwa nnachojiuliza kwa nini Tshekedi hataki kusitisha vita matokeo yake anawatoa wazalendo kafara huko Ituri. Kila unapofuatilia hii vita na kudhani inafika mwisho linaibuka jambo lenye mlengo wa kuendeleza vita.
 
Kaka, kumbuka, mshikaji ana uraia wa Belgium.

DRC ilikuwa koloni ya Belgium. Leo hii, Belgium ni nchi inayotegemea DRC kwa kiasi kikubwa. Hivyo basi, atakaaje Belgium kama raia, ikiwa hajawatengenezea mazingira mazuri?
Pili, ujue rais kama rais, anakuwa na kamati ya uongozi. Ikibishia jambo fulani,yeye hana maamzi ya kupinga. Je, unadhani aachie mashariki tu hivi hivi?
Je, unadhani uwezo wa kurudisha eneo lile anao? Yote jibu ni hapana. Kikubwa ni kwamba maji yamemfika shingoni, hivyo anajaribu kuonyesha uwezo wake.

Sema tu, iwe Kabila, iwe jirani, wote wanajeshi. Unadhani ubavu wa kupambana nao anao? Pia,zingatia, ushawishi wa Kabila, ni mkubwa kuliko wa rais wa sasa.
 
Sawa mkuu ngoja tuvute subra maana kuna report wamemwagwa wapiganaji huko sio poa mpaka wamarekani. Au hiyo depopulation tunayoisikia imeanzia congo who knows 🤔
 
Kinacho gombewa pale ni kutaka kupora mkoa wa Kivu ya kaskazini na Kusini iugane na Rwanda, hiyo ndiyo ilikuwa na bado ndiyo long term plan za jamaa hawa mengine wanaleta maigizo tu!!

Bila ya kuondoa majeshi yao nchini DRC hakuna kitakacho fanyika, tutafanana kama watu wanao twanga maji kwenye KINU ,Labda International community au Trump ndiyo waingilie kati kushughulikia suala hili, jamaa hawa bila ya kuchukuliwa hatua kali watasubua sana sana katika ukanda huu wa maziwa Makuu kutokana na hulka zao za ubishi.

Tumshukuru Tshekedi kwa kutumia busara kujaribu kumaliza mgogoro huu wa kuchonga.

Tatizo hapa ni kama nilivyo Sema hapo mwanzo,je, hawa jamaa watakubali kuondoka kwa hiari yao nchini DRC? Personally I don't think so, watabuni visingizio na visingizio vya kutotaka kuondoka Congo DRC. My opinion.
Hizo international community zenyewe zinaomba mgogoro uendelee ili ziendelee kuchota rasilimali adimu za DRC
 
Sawa mkuu ngoja tuvute subra maana kuna report wamemwagwa wapiganaji huko sio poa mpaka wamarekani. Au hiyo depopulation tunayoisikia imeanzia congo who knows 🤔
Mercenaries have always been recruited, and nothing was done. Ngoja tuone, wanaopigana ndo wanaojua kinachoendelea ni nini.
 
Mkuu hii vita nini hasa aim yake maana wame patanishwa na dunia still wanekaza fuvu, halafu kuna habari ilikuwa A journal kuwa huko Doha congo ilikuwa inatuma unauthorised people kwenye mazungumzo kwa nini hao waasi au hata Qatar ilikuwa inawapokea? Then yule mmarekani anasema watasaini mkataba? This time around tutaona mengi ila marais wengi wa Afrika wana moto wao wa peke yao.
Hatari sana.
 
1751761965994.png

1751761987280.png

1751762069524.png
 
Back
Top Bottom