Serikali ya CCM yazidi kumwandama Mbowe!

Serikali ya CCM yazidi kumwandama Mbowe!

Hata baada ya uchaguzi wa 2015 kesi nyingi sana zitaanza kusikilizwa.
Ndiyo kama ile ya Kiwira coal mines, EPA na role ya JK, ESCROW na role ya JK, Uvunjifu wa katiba ZNZ na role ya JK, Mauaji ya mwandishi Iringa, Kupigwa Dr Ulimboka, Kibanda, nk. mauaji ya bomu Arusha nk. JK jiandae uende The hague!!
 
Bawacha wote mnapotoshana kila kukicha nani kakwambia kuwa mbowe ni marufu kwenye nchi hii,kwa tarifa yako umarufu wa mbowe pengine upo kwenye uharifu na uendeshaji wa disco za usiku.

Chezea kamanda wa anga wewe? Utataga mwaka huu,Mbowe sio size yako wala babako asiyejulikana hata mtaa wa pili tu.Mbowe ni zaidi ya ukoo wenu wote wa mapanya!
 
Mkuu unakumbuka kwamba mbowe huyu aliwahi kuiba benki kuu akiwa karani wa benki hiyo.

Akili ya viongozi wa ccm ni ndogo sana,serikali hii ya ccm ina polisi,usalama wa Taifa,kitengo cha rushwa,jeshi la wananchi,waendeaha mashitaka,
Serikali hii ina sheria za benki,za kijamii sasa basi
1. Kama unasema Mbowe aliwahi kuiba ,na ushahidi ukawepo pale benki ,vyombo vya usalama vilikuwa wapi kumtia hatiani?
2. Huoni kwamba ,unawadhihirishia watanzania kuwa hatuna serikali inayozingatia utawala bora?, kama fedha zibaibiwa,harafu serikali ibaki kutaja tu huyu alifanya hivi,huyu alifanza vile,huoni ni serikali ya musukule?
3. Je,huoni kuwa kama unajua,na vyombo vya serikali yako vunajua kuwa mbowe aliiba fedha benki na ameachwa tu huoni kuwa ni serikali iliyopoteza uhalali wake,huoni ndio maana uchaguzi ukianza unasikia mara Salm Ahmed Salm si raia,bashe msimali,jussa mhindi,jenerali ulimwengu mnyarwanda na wanapewa madaraka huku vyombo vya usalama vikikaa kimya kuashiria kwamba chama hiki hakifai kuongoza nchi ,kuna siku kitampa mzaliwa wa itali kuwa rais,na siku akikosoa ataitwa muitaliano?

Jifunzeni kufikiri,na usiendelee kuliabisha jeshi kwa siasa mfilisi
 
Sheria ni sheria tu haijalishi kosa limetendeka lini

Mpaka sheria itakapomtia hatiani yule aliyefilisi benki ya NBC,Viwanda vyetu vya ngozi,nguo na viatu,aliyeuza nyumba zetu za serikali,aliyenunua rada kwa bei ya ajabu hadi waingereza wakatusaidia,na aliyeua shirika la ndege ndio tutajua kweli ccm ni chama dume,au dume kwa vijikesi vya ugoni tu?
 
Kweli kabisa Mkuu.

magamba mtaweweseka sana lakini CDM hamtaiweza.CDM imewekeza kwenye bongo za watz wakati nyie mmewekeza kwenye wizi wa raslimali za umma,rushwa na kila aina ya upuuzi.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu! Ccm ilishakufa zamani imebaki kulindwa na dola tu!

Sana mkuu,ukitaka kujua kuwa chama kimekufa
1. Muda wote chama na dola hushughulikia vyama vya upinzani tu
2. Hakuna mwelekeo bali kinafanya pale kinapobanwa na wapinzani( mfano ajenda ya katiba mpya)
3. Mawaziri kuibuka na fukuzafukuza ya watendaji( kwa kuwa wapinzani wanasema ufisadi umezidi)
4. Utasikia BRN kwa kuwa watoto wamefeli na kushusha alama za ufaulu kwa kuwa watoto wamefeli,wizara kutunga mitihani ya BRN kwa kuwa haiwaamini tena watendaji wake,mtihani wa BRN kutunga kimakosa sana kwa kuwa hawana vision ya kyboresha elimu Tanzania.
Kuanzishwa kwa shule za kata,kwa kuwa cuf 2000 lipumba alisema akishinda kila kata itakuwa na shule za sekondari.
 
wewe ni sehemu ya wanao tuhujumu Ndio maana unashadadia kesi za uzushi
siku zebu zinahesabika sasa
 
Kwa hiyo kama kweli alimshambulia mlitaka asishitakiwe? Tena aliyemshambulia ni mwanamke!
Ulitaka afanyeje,kama mlitaka kumshikisha hongo kama ada yenu?, kwani mwanamke akifanya makosa asiadhibiwe,kisa mwanamke?
 
wewe ni sehemu ya wanao tuhujumu Ndio maana unashadadia kesi za uzushi
siku zebu zinahesabika sasa

Unaposema kesi za uzushi unamaanisha nini?

Mbona Mbowe mwenyewe anakiri kuwa alimtandika huyo mtu vibao baada ya kubaini anataka kumhujumu?
 
Mkuu unakumbuka kwamba mbowe huyu aliwahi kuiba benki kuu akiwa karani wa benki hiyo.


Mkuu inaelekea hii Bank ilikuwa ya mama au Mzazi wako...mbona wengine hatuna habari hii ya wizi? au umepitiwa na kumbe ulitaka zungumzia pesa za ESCROW?
 
wanajisumbua mbona kesi ziliwahi kuwa 20 lakini zote walifail? CHADEMA wanaanza na mungu na kumaliza na mungu
 
Serikali ya maintarahamwe inahangaika bure tu. Hii kesi kamanda Mbowe atashinda kama alivyoshinda kesi nyingine.
 
Back
Top Bottom