Serikali ya CCM yatumia vitisho kwa Viongozi wa CHADEMA Arusha

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana Ukombozi umekaribia na mabadiliko lazima yatokee hakuna nguvu ya kuzuia mabadiliko kitu ambacho Ccm na Serikali yake hawalifahamu.MAKAMANDA MSIOGOPE MUNGU YUU UPANDE WENU.
 
Jengeni Msikiti/Kanisa la CDM ili mungu awatambue.
 
Hii habari haieleweki. Kama ulikuwa unaogopa kuielezea vizuri au haujakamilisha habari yako, usingeipost kwanza hii thread! It is useless!
 
Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana Ukombozi umekaribia na mabadiliko lazima yatokee hakuna nguvu ya kuzuia mabadiliko kitu ambacho Ccm na Serikali yake hawalifahamu.MAKAMANDA MSIOGOPE MUNGU YUU UPANDE WENU.

Chadema mbona kila wakti mnakuwa watu wa kulalama tu. Au mnaogopa vivuli vyenu?
 
nimekuja Arusha mara moja,nilikuwa nasikia tu kuwa hapa usimseme vibaya Lema ukasikika na vijana nimeamini.nimepita sehemu nikakuta kikundi cha wauza miwa wakisema Lema kawaokoa na usumbufu wa askari wa jiji.
 
<br />
<br />
kawaokoa kwa kufuata sheria au kwa kuvunja sheria.
 
Gidi Mangi

hebu tupe habari kwa ufasaha mkuu, tumechoshwa na vitisho vya serikali ya ccm, hata mahakimu itafikia wakaamua kumwaga ukweli kwa kufuata sheria bila kuonea.
 
<br />
<br />
kawaokoa kwa kufuata sheria au kwa kuvunja sheria.

Kwa kufuata sheria zinazo ondoa usumbufu na kuvunja sheria kandamizi zinazoleta usumbufu. Katiba ndio hiyo inapigiwa kelele haifai na ndivyo hivyo hivyo baadhi ya hizo sheria zinazotokana na hiyo katiba ni batili.
 
"dhuluma katu haiwez kusimama mbele ya haki" Arusha mwishon itakua tution kwa magamba.
 
Back
Top Bottom