Serikali ya CCM yashindwa kulipa madeni ya watumishi

Serikali ya CCM yashindwa kulipa madeni ya watumishi

Inashangaza watumishi wa serikali kuichagua ccm. Inashangaza zaidi wanafunzi wa elimu ya juu kuishabikia ccm.

Makundi haya mawili yangetosha kabisa kuangusha mbuyu (ccm) kwa ulaghai inaoufanya.
 
ccm imeshindwa kutatua matatizo ya watz kipindupindu na umeme hawawezi kutatua

kutekeleza ahadi atakazo toa magufuli Itakuwa ni ndoto za mchana
migodi na viwanda wamebinafsisha na hakuna tunacho nufaika ccm wamechoka na wanatudharau.
 
Mie ni mwlimu nilpandishwa daraja mara ya mwisho mwaka 2008 hadi sasa sijapandishwa. aidha ninadai pesa ya likizo na uhamisho kwa kipindi kirefu.SIWEZI.SITAKI.SIHITAJI.SIITAKI CCM.Nimeishapigia kura mabadiliko nasubiri mahesabu.Baaasi
 
Si kwamba watu wanaipenda ccm

Pengine wangeweza kuipiga chini kweli

Lakini wanaogopa ,,,,,kwasababu kule kunakodhaniwa ni kimbilio ndo kuko worse.

Hebu angalia hii;-
Wakati ccm wanakata mafisadi
Cdm inakaribisha mafisadi..

Kwa mfano huo tu inatosha kuiona ccm kama inajisafisha na
Kuiiona cdm kama inachafuka.

Sasa kwanini watu wasibaki huku kunako safishika wakimbilie kule kunako chafuka?

Kama ni hivyo tumchague mama Anna Mgwira yeye binafsi hana doa:mmph:
 
Hatimae Serikali inayoongozwa Na CCM imeshindwa kulipa madeni inayodaiwa Na Watumishi mbalimbali ,Wakulima Na Wakandarasi.Madeni hayo yana miaka mingi sana tokea utawala Wa Mkapa mpaka huu Wa Kikwete ambao unamalizika mwezi ujao.Hakika CCM imewanyanyasa sana hao wanaodai kwani hata mazingira yao ya kazi ni mabovu.

CCM imepoteza mvuto kwa wananchi Na ndio maana ktk uchaguzi Wa mwaka huu wanategemea jina la MTU kuliko la chama.CCM imediliki kununua viongozi Wa upinzani ikidhani itaudhohofisha upinzani lakini ndio kwanza imeuimalisha maradufu.CCM imenunua mpaka wasanii kutafuta mvuto kwa wananchi lakini bado hali in mbaya .CCM imediliki kuwatukana matusi Watanzania kupitia kiongozi mkubwa Mh.MKAPA kwa Kuwaita WAPUMBAVU Na MALOFA kitendo ambacho kimewakera sana wananchi Na viongozi Wa Dini.Wakati umefika Wa kuiambia CCM tumeichoka tunataka MABADILIKO.

Mtasubiri sana
 
ccm lazima wachawi madhambi yote haya bado kuna watu wanaopenda
 
Kwa hiyo rais ajaye atarithi siyo tu deni kuuuuuubwa la taifa bali pia na la watumishi wa serikali. Lakini lipo pia bnm 800 za wizara ya Magufuli ikiwa ni penalty kwa kushindwa kuwalipa kandarasi

Zilikuwa zimefika 900
 
harafu kipindupindu wakati huu hamna maembe wala mvua.... ni hatariii ikifika December hakijaisha..... watz wengi tutapoteza maisha.....

Hayo mabomba ya DSM yote yanapita kwenye mkondo wa maji taka.kipindupindu kitaishaje? Dar watu wanakula mavi live.
 
mi nauliza jamaa kasema ccm ilikuainajisafisha kwa kuwakata mafisadi, sawa je wanaccm wangapi walilidhia kuwakata hao wanaowaita mafisadi? Je list of shame ya chadema walitajwa mafisadi wangapi,na ni wangapi wameshakatwa? wtz muwe waelewa

ccm aikuwa inakata mafisadi la hasha! kukatwa kwa lowasa ni matokeo ya ugonvi baina ya membe na EL basi,
 
Back
Top Bottom