Serikali ya ccm yafanikisha korosho yauzwa kwa shs 3,016 kwa kilo toka bei ya mwaka 2017 ya shs 4,500 -5,000

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source ITV

Serikali ya ccm imekubali kuuzwa kwa korosho kwa bei ya shs 3000 hadi 3016 kwa kilo katika mnada uliofanyika leo huko mtwara.

Kumbuka bei elekezi ilikuwa 1700 na seeikali ikasema inaunga mkono mgomo na bei ifike 5000 ambayo imeota mbawa.

Bei ya korosho ya mwaka jana ilikuwa kati ya 4500 hadi 5000 kwa kilo hadi mbuzi wakanywa soda
 
tani 200 kati ya laki4........... kuna mtu katumwa kuzinunua c bure
 
Source ITV

Serikali ya ccm imekubali kuuzwa kwa korosho kwa bei ya shs 3000 hadi 3016 kwa kilo katika mnada uliofanyika leo huko mtwara.

Kumbuka bei elekezi ilikuwa 1700 na seeikali ikasema inaunga mkono mgomo na bei ifike 5000 ambayo imeota mbawa.

Bei ya korosho ya mwaka jana ilikuwa kati ya 4500 hadi 5000 kwa kilo hadi mbuzi wakanywa soda

Wamesikia na kufuata mawazo mbadala ya Chadema, "wasiwalazimishe wafanya biashara kununua kwa bei ya mwaka jana, makosa waliyafanya wenyewe kutosikiliza mawazo yetu bungeni"
Ulitaka wawalazimishe Chadema si wangeanzisha kampeni ya mgomo nchi nzima😂😂😂
 
Bei za bidhaa zinaongozwa na hali ya soko na si vinginevyo. si lazima bei ya leo iwe juu ya ile ya juzi.
 
Kila mwenye simu sukuhizi ni mwana habari taalifa hiii imejaa ushabiki sana kuliko uhalisia
 
Lazima muuelewe bei huamuliwa na soko, ila Serikali huweke mazingira rafiki kwa mnunuzi na muuzaji. Msimu huu na uliopita, Serikali imefanya vizuri.
 
Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kujali wakulima wa korosho kwa kuhakikisha bei ya kilo ya korosho inakuwa sh. 3000.
 
Kila kitu siasa kuna siku mtasema CCM imefanya upasuaji wa kupunguza ukichaa kichwani maana sio kwa siasa hizi
CCM haiwezi kufanya upasuaji wa kuondoa ukichaa kichwani chini ya Mwenyekiti "Kichaa", kuna kitu unakitafuta utakipata muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom