Serikali ya CCM tuoneeni huruma wasukuma na zao la pamba

tanganyikakwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
493
Reaction score
188
Ukiangalia kulima hekari moja ambayo ukipata sana unavuna kilo 200 ambapo makampuni ya wakubwa yanayonunua pamba yananunua kwa sh 750 jumla kwenye ekari unapata laki na nusu.

Hapohapo kilo moja ya mbegu walituuzia sh 1500,palizi mara 2 kupiga dawa ndo usiseme na bado wametuletea mizani za kutpunja.

Je watatuona wasukuma ni wajinga mpaka lini?au mpaka tufyeke mashamba kama wachaga walivyofyeka kahawa mliposhusha bei?
 
sasa hili janga tulifanyeje?
mbona kwa wachaga wanashikaga adabu?
au tuwatume wazee wa kisukuma moshi wakajifunze wenzao waliifanyaje serikali ya ccm maana nasikia kahawa sasa wachaga ndio wanaamua bei.
 
Sisi CCM Hatuna muda,Tukitumia FEDHA Nyingi kununua PAMBA Hatutapata Za KUWACHAPISHIA VITENGE NA KOFIA,KUNUNUA CHAI N.K
 
Changanya kondoo na fisi zizi moja then umwombe fisi akulindie kondoo wako. Chukueni hatua sasa ni wakati wenu
 
Ukiangalia kulima hekari moja ambayo ukipata sana unavuna kilo 200 ambapo makampuni ya wakubwa yanayonunua pamba yananunua kwa sh 750 jumla kwenye ekari unapata laki na nusu.

Hapohapo kilo moja ya mbegu walituuzia sh 1500,palizi mara 2 kupiga dawa ndo usiseme na bado wametuletea mizani za kutpunja.

Je watatuona wasukuma ni wajinga mpaka lini?au mpaka tufyeke mashamba kama wachaga walivyofyeka kahawa mliposhusha bei?

Wakuoneeni huruma kwasababu ipi? Mlishiriki uchaguzi vizuri halafu leo unataka huruma? You can't be serious! Tulia dawa iingie ili upate kupona, dawa chungu ndo iponyayo.
 
Ukiangalia kulima hekari moja ambayo ukipata sana unavuna kilo 200 ambapo makampuni ya wakubwa yanayonunua pamba yananunua kwa sh 750 jumla kwenye ekari unapata laki na nusu.

Hapohapo kilo moja ya mbegu walituuzia sh 1500,palizi mara 2 kupiga dawa ndo usiseme na bado wametuletea mizani za kutpunja.

Je watatuona wasukuma ni wajinga mpaka lini?au mpaka tufyeke mashamba kama wachaga walivyofyeka kahawa mliposhusha bei?

Unajua nyie ni wajabu sana?
Kwani kulima Mahindi, alizeti, maharage na mbaazi , dengu na mazao mengine ya Biashara hamjuhi?
 
Mkuu tuwe wapole tu, hizo ndo gharama za zile nyama tunazokula wakati Wa kampeni! Tuvumilie tu haya maumivu, hii yote ni shauri ya ujinga wetu! Mukunya!!
 
Mnadhani Chenge Ni mjinga kuchinja ng'ombe, mbuzi na kondoo bure. Mokoyeha nkoi...
 
Tulieni dawa iwaingie,mlifurahia tshirt za kijani na kofia zake,mkanywesha gongo na viroba mkafurahi mkafikiri vinajileta vyenyewe? Acha mkamuliwe mpate akili nyie ndugu zangu.Mogembiwa bhabhuli abhasukuma bha nduhu tabhu,mkutosha duhu emiligho ulugendulu! Lilemagi iliccm mpanike hambuhambu!
 
Ukiangalia kulima hekari moja ambayo ukipata sana unavuna kilo 200 ambapo makampuni ya wakubwa yanayonunua pamba yananunua kwa sh 750 jumla kwenye ekari unapata laki na nusu.

Hapohapo kilo moja ya mbegu walituuzia sh 1500,palizi mara 2 kupiga dawa ndo usiseme na bado wametuletea mizani za kutpunja.

Je watatuona wasukuma ni wajinga mpaka lini?au mpaka tufyeke mashamba kama wachaga walivyofyeka kahawa mliposhusha bei?

Punguza jazba waazibun kwenye sanduku la kura.
 
mkuu tuwe wapole tu, hizo ndo gharama za zile nyama tunazokula wakati wa kampeni! Tuvumilie tu haya maumivu, hii yote ni shauri ya ujinga wetu! Mukunya!!

wasukuma ni walaku wa nyama wakati wa kampeni, hasa wa bariadi,maji,zahanati,barabara na elimu,mnalalamikia upumbafu wenu.
 
Eti tuonewe hurumaa! Napenda serikali na wenye makampuni ya pamba wazidi kushusha bei mpaka basi,wasukuma wengi ni watu wasiojali,bora liende,wanajivunia maguvu pasipo kushtuka kwamba kila mwaka wao na hasara,hasara na wao.

Nina ndugu zangu nilijitahidi sana kuwaelewesha kuhusu suala la pamba na madhira yake mazao mbadala hawakuelewa lakini kadri siku zinavyosonga kuna wachache wameanza kuelewa somo,gharama za uzalishaji zao la pamba ni kubwa lakini bei ni ndogo na pia wamiliki wa makampuni ya kununua pamba ndiyo viongozi wa bodi ya pamba au wabunge ambao ndiyo wanapanga ni jinsi gani ya kuongeza faida kila kukicha hivo wakulima kuwaza kwamba mnaviongozi wa kutetea maslahi yenu ni zaidi ya uwendawazimu.
 
Mkuu tuwe wapole tu, hizo ndo gharama za zile nyama tunazokula wakati Wa kampeni! Tuvumilie tu haya maumivu, hii yote ni shauri ya ujinga wetu! Mukunya!!

Na Mwakani Jimbo La Chenyo La Bariadi Mashariki Yule Mmiliki Wa Jineri Ya Pamba Pale Mjini Na Rafiki Yake Rizione Ameapa Kulichukua Jimbo Na Mzee Chenyo Ameahidi Kumwachia,mkimchagua Tu Mgunya Mashi Madoto,atawafanya Anakavyo,mnakumbuka Enzi Za Edwardo Ngh'wanie Na SHIRECU,Mbunge Yenye,mwenyekiti Yeye, Mwenye Tenda Ya Usafirishaji Pamba Kutoka Vijijini Yeye. Mgupanza Michembe.
 
unapoteza muda wako bure ! Tangu lini watu hao wakawa na huruma na wananchi ? Chukueni hatua jamani !
 
Tulieni dawa iwaingie,mlifurahia tshirt za kijani na kofia zake,mkanywesha gongo na viroba mkafurahi mkafikiri vinajileta vyenyewe? Acha mkamuliwe mpate akili nyie ndugu zangu.Mogembiwa bhabhuli abhasukuma bha nduhu tabhu,mkutosha duhu emiligho ulugendulu! Lilemagi iliccm mpanike hambuhambu!

Na rais wao aliwaambia ukila ujue kuna kuliwa walikula nyama sasa ni zamu yao kuliwa poor ngoshaz
 
Na Mwakani Jimbo La Chenyo La Bariadi Mashariki Yule Mmiliki Wa Jineri Ya Pamba Pale Mjini Na Rafiki Yake Rizione Ameapa Kulichukua Jimbo Na Mzee Chenyo Ameahidi Kumwachia,mkimchagua Tu Mgunya Mashi Madoto,atawafanya Anakavyo,mnakumbuka Enzi Za Edwardo Ngh'wanie Na SHIRECU,Mbunge Yenye,mwenyekiti Yeye, Mwenye Tenda Ya Usafirishaji Pamba Kutoka Vijijini Yeye. Mgupanza Michembe.
Hapo kwenye red A-banani bagupanza michembe? Bebe nyanda nagugulukila!! Ila kwa kweli kwa ujinga wetu tunaweza kumpa huyo jamaa mwenye ginnery! Kwani mkuu tuna kelele sisi tukishapewa nyama? Shen.zy zetu kabisa!!
 
Na rais wao aliwaambia ukila ujue kuna kuliwa walikula nyama sasa ni zamu yao kuliwa poor ngoshaz
ndo wanaanza kuliwa wanalalamika nn nawashangaa sana serikai ya ccm niviziwi sijui watasikiaje kilio chenu ccm inakaribia kumaliza muda wake wa kutawala ndo maana wanawakomoa na nyie mmezidi mnapendana vya bure kofia tshert mnafikiri zinatoka wapi
 
Back
Top Bottom