Hii inatokana na operesheni ya Tokomeza ujangili,haiwezekani watu wanawekea chupa sehemu za siri,wanalazimishwa kufanya mapenzi na miti au wakwe zao! Hii nchi ya utawala wa sheria au ni mfumo wa kidikteta?
Haiwezekani watu wanawekea chupa sehemu za siri,wanalazimishwa kufanya mapenzi na miti au wakwe zao! Hii nchi ya utawala wa sheria au ni mfumo wa kidikteta?
Haiwezekani watu wanawekea chupa sehemu za siri,wanalazimishwa kufanya mapenzi na miti au wakwe zao! Hii nchi ya utawala wa sheria au ni mfumo wa kidikteta?
We ndo poyoyo kweli!! Kwani Serikali iko chini ya Chama gani? Inawezekana hata kwanini tunafanyaga uchaguzi hujui!! Kwa kukufahamishi ni hivi..... Wananchi ambao ndo wenye mali wameipa dhamana CCM kulinda na kusimamia maslahi ya taifa, Sasa mlinzi ambaye ni CCM chini ya serikali yake inashirikiana na wezi(majangili) kutuibia sisi wananchi (wenye mali)... Hapo huwezi kusema eti mlinzi/msimamizi(Serikali ya CCM) haihusiki... Hapo huwezi kuwatenganisha mlinzi na mwizi wote ni kuwachukulia hatua...