Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 0
Hii inatokana na operesheni ya Tokomeza ujangili,haiwezekani watu wanawekea chupa sehemu za siri,wanalazimishwa kufanya mapenzi na miti au wakwe zao! Hii nchi ya utawala wa sheria au ni mfumo wa kidikteta?