Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Wana Jf leo ni siku ingine tulio jaliwa na Mwenyenzi Mungu kuishi. Kama tunavyo elewa kila baada ya dakika moja tunashuudia ama kusikia jambo la kutisha katika hii nchi ya Kambarage.
Jana taree 03-10-2013 jioni katika kipindi cha Mzalendo kinacho rushwa hewani na kituo cha ITV, kilimwalika Mh. Mbunge Alima Mdee (Chadema) na Mh. Mbunge Easter Bullaya (CCM) na mada kuu ilikuwa Madawa ya kulevya na athari zake hapa nchini. Mh. MDEE alieleza kuwa "vyombo vya habari vilishawai kuripoti kuwa mdogo wa Rostam Azizz anajiusisha na biashara ya madawa ya kulevya, na serskali pamoja na vyombo vyake vyote vilishindwa kuchukua hatua na alietaka kuchukua hatua alishindwa kwasababu ya kuofia kushuulikiwa na uongozi wa juu. ni nani asietambua mtandao wa Rostam Azizz na nani asiejua kuwa mtandao wa Rostam Aziz ndio uliiweka serekali hii madarakani." Mwisho wa kunukuu.
My take
Kutokana na maelezo ya Mh. Mbunge Halima Mdee vita dhidi ya madawa ya kulevya hapa nchini ni ngumu sana. Kwani anayepigana vita hii ni kwamba anapigana vita dhidi ya serikali ya ccm, Na tukitaka kutokomeza madawa ya kulevya ni lazima tuitokomeze ccm kwanza.