Serikali Ya CCM nani alaumiwe hapa TULIPO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Ya CCM nani alaumiwe hapa TULIPO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Mar 17, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ndg wana JF: Nani alaumiwe
  1.Sisi Watanzania maana tuliichagua
  2. Maaskofu kwa kusema chaguo la mungu
  3. Tume ya Uchaguzi umetufikisha hapa
  4. Watendaji wa serikali kumgeuka Rais - Hawatimizi wajibu
  5. Mawaziri na Wabunge kuwagawanyika kimaslahi
  6. Viongozi wengi kuwa na biashara kama vile Shell za mafuta, Masamtrela, Viwanda vya sukari, Makampuni ya Simu, Kuwa na tender za kampuni zao
  7. Wana Siasa kujihusisha na akili za watz kama vile kukosa kwa umeme, maji wanatumia hiyo njia kutunyonya zaidi

  TUFANYE NINI ILI TUPIGE HATUA
   
Loading...