Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,680
- 107,852
Inakuaje serikali inashindwa kutengeneza ajira wakati nchi bado Iko nyuma sana kimaendeleo na yapo maeneo mengi sana ya kufanyia kazi ?
Mfano ikawakusanya tu vijana wasio na ajira ikwapa kazi ya kutengeneza barabara za nchi nzima na kutandaza mabomba ya maji kila nyumba iwalipe elfu kumi kwa siku. Hizi kazi mbili tu zitachukua vijana wote wasio na kazi kwa miaka hata kumi na vijana hawatatosha.