Serikali ya CCM imejiandalia Anguko takatifu...

Kitendo cha Serikali kuanza kuzuia Watz wenye mapenzi mema kumwombea Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria wa CHADEMA na Mnadhimu Mkuu wa KUB Mhe. Antipas Tundu Lissu zina akisi taswira hasi kwa jamii ya Kitanzania na ishara mbaya sana.

Baada ya TL kupigwa risasi 28-38 kuna Watanzania mamia kwa maelfu waliguswa na tukio hili na wakaamua kujitolea damu, kufanya maombi makanisani na kusoma albadir Misikitini ili kuonyesha mapenzi mema walokuwa nayo kwa Mtanzania mwenzao TAL. Jambo la kushangaza ni kwamba mambo yote haya yamekatazwa na kuzuiliwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa sababu zisizo na msingi. Wakti Baba wa Taifa anaumwa, Mkapa anaumwa, Kikwete anaumwa, Marehemu Sitta anaumwa na Job Ndugai anaumwa, Serikali ilihimiza watu waombe ili kuleta uponyaji. Ni bahati mbaya tu Mzee Sitta ndiyo Mungu aliruhusu kumchukua. Leo iweje watu wazuiwe kuomba kwa ajili ya Tundu Lissu?? Kuna nini??

Kama serikali imefikia mahali pa kuzuia hata ibada kwa ajili ya kumwombea Mtanzania mwenzao aliyepigwa risasi 38 kama mnyama tena mchana kweupe kwenye viunga vya Bunge na hawa watu wasiojulikana wakatokomea kusikojulikana ni hali ya hatari sana. Kama sheikh, Padre, Askofu au Mchungaji na waumini wao watazuiwa kuombea ndugu zao walio wagonjwa, wenye shida na uhitaji kwa namna yoyote ile ni kwamba Serikali ya CCM sasa imeamua kupambana na Mungu.....!!!

Mungu siku zote huwa hataki kuwa beeped! Uki-beep yeye anapiga moja kwa moja. Sasa Serikali hii ya CCM na ya JPM imeamua kum-beep Mungu kwa kuzuia watu kufanya ibada zao kumwombea ndugu yao Antipas Tundu Lissu. Tusubiri, mbona ni swala la muda tu na Mungu atapiga!!Anguko lake CCM watajuta kwa kosa hili la kumpuuza Mungu wa Mbinguni..!!!
CCM wajue kwamba kuna MAOMBI YA KIMYA KIMYA YANAENDELEA NCHI NZIMA SIJUI HAYO WATAYADHIBITI VIPI....Labda kwa kutumia watu wasiojulikana ambao Mungu ANAWAJUA VIZURI SANA....Tusubiri matokeo.

CCM NI MFU ZAMANI , Bila JESHI, POLISI , USALAMA WA TAIFA , CCM NI WALKING DEAD,

MAADAMU HAKUNA TUME HURU YA UCHAGUZI , CCM ITAENDELEZA UMAFIA WAKE WA KUVITUMIA VYOMBO VYA DOLA KUSHINDA, KUUWA WAPINZANI; KUSWEKA MASHEIKH NA WAISLAMU, PERIOD
 
Hii issue itasahaulika wala hakuna mtanzania atahangaika nayo. Kwani mangapi yamekuja na kupita. Binadamu tumeumbwa kwa kusahau
wakandwa madole ndio watakuwa wakwanza kusahau lakini watanzania hatutasahau kamwe kwamba utawala wa Magufuli ni waauaji
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Wakati mwingine tunacho kiona machoni huwa hakiaksi uhalisi.
Mwl. Mzuri ni muda.
 
Wewe yehodaya umekuwa kiroja sasa. Watu wanazungumzia sala kwa ajili ya mgonjwa wewe unaongelea siasa ya nani mshindi nani si mshindi?
Roho yako ni sawa na za hao wauaji wasiojali uhai wa watu bali wanajali vyeo
vyao!!!!
 
MAOMBI YA KISHETANI HAYANA NAFASI KATIKA NCHI YETU.....

Wewe mheshmiwa sana una IMANI gani??
Kama kumwombea mtu aliyepigwa risasi na yuko ICU ni maombi ya kishetani basi chunguza sana DINI na IMANI yako uliyo nayo!! lazima itakuwa ni ya Shetani kwa 100%!!
Kama unafikri wanao mwombea Lissu ni watu wa SHETANI lakini waliotaka KUMWUA TL ni watakatifu wa mungu mtu......!! napenda kukuhakikishia kuwa you are on the way to HELL!! Na siku utakapovuta pumzi yako ya mwisho haya maneno utayasikia kwa mara ya mwisho. Just mark my words!!! Amen.
 
Ccm itakufa kifo cha ajabu sana.. Hawataa wasahau kitakachowakuta
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Sasa chama ambacho hakijachokwa na wananchi ni kipi mkuu??
 
Wewe mheshmiwa sana una IMANI gani??
Kama kumwombea mtu aliyepigwa risasi na yuko ICU ni maombi ya kishetani basi chunguza sana DINI na IMANI yako uliyo nayo!! lazima itakuwa ni ya Shetani kwa 100%!!
Kama unafikri wanao mwombea Lissu ni watu wa SHETANI lakini waliotaka KUMWUA TL ni watakatifu wa mungu mtu......!! napenda kukuhakikishia kuwa you are on the way to HELL!! Na siku utakapovuta pumzi yako ya mwisho haya maneno utayasikia kwa mara ya mwisho. Just mark my words!!! Amen.
Wapi kaka! ebu fikiria mtu mwenye uwezo wa kuwaomba wafaziri wakate misaada included ya life saving medicines zinazotolewa kwa wananchi wa hali duni vijijini....included ARVs, Malaria and TB..... Unamzungumzia mtu anayeona UFAHARI KUZUIWA kwa ndege ya NCHI iliyotarajiwa kuwasafirisha sio wasafiri wa kawaida kwa haraka bali pia wagonjwa wengi kama alivyosafirishwa yeye na PRIVATE JET... Unazungumzia mtu aliyekuwa anapinga kila kitu na daima kusapoti yoyote ilimradi anaipinga serikali ya TZ.... Sorry DUA za KUKU hazimpati MWEWE... MUNGU NI MKUBWA SANA NA ANA BUSARA!
 
Huyo Mungu unayesema ni Mkubwa na ana busara siyo Mungu tunaye mwabudu....!!!!
Mungu mwenye busara hawezii kuyaita MAOMBI YA WATU KUMWOMBEA LISSU ALIYEKO ICU ATI NI YA SHETANI.........Ulichosema ni KUMKUFURU AU KUMTUKANA MUNGU NA USIIPOTUBU UTALIPIA MUDA SI MREFU......!!!!Just mark my words. Ninajua naongea nini......!!!!!
 
Kitendo cha Serikali kuanza kuzuia Watz wenye mapenzi mema kumwombea Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria wa CHADEMA na Mnadhimu Mkuu wa KUB Mhe. Antipas Tundu Lissu zina akisi taswira hasi kwa jamii ya Kitanzania na ishara mbaya sana.

Baada ya TL kupigwa risasi 28-38 kuna Watanzania mamia kwa maelfu waliguswa na tukio hili na wakaamua kujitolea damu, kufanya maombi makanisani na kusoma albadir Misikitini ili kuonyesha mapenzi mema walokuwa nayo kwa Mtanzania mwenzao TAL. Jambo la kushangaza ni kwamba mambo yote haya yamekatazwa na kuzuiliwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa sababu zisizo na msingi. Wakti Baba wa Taifa anaumwa, Mkapa anaumwa, Kikwete anaumwa, Marehemu Sitta anaumwa na Job Ndugai anaumwa, Serikali ilihimiza watu waombe ili kuleta uponyaji. Ni bahati mbaya tu Mzee Sitta ndiyo Mungu aliruhusu kumchukua. Leo iweje watu wazuiwe kuomba kwa ajili ya Tundu Lissu?? Kuna nini??

Kama serikali imefikia mahali pa kuzuia hata ibada kwa ajili ya kumwombea Mtanzania mwenzao aliyepigwa risasi 38 kama mnyama tena mchana kweupe kwenye viunga vya Bunge na hawa watu wasiojulikana wakatokomea kusikojulikana ni hali ya hatari sana. Kama sheikh, Padre, Askofu au Mchungaji na waumini wao watazuiwa kuombea ndugu zao walio wagonjwa, wenye shida na uhitaji kwa namna yoyote ile ni kwamba Serikali ya CCM sasa imeamua kupambana na Mungu.....!!!

Mungu siku zote huwa hataki kuwa beeped! Uki-beep yeye anapiga moja kwa moja. Sasa Serikali hii ya CCM na ya JPM imeamua kum-beep Mungu kwa kuzuia watu kufanya ibada zao kumwombea ndugu yao Antipas Tundu Lissu. Tusubiri, mbona ni swala la muda tu na Mungu atapiga!!Anguko lake CCM watajuta kwa kosa hili la kumpuuza Mungu wa Mbinguni..!!!
CCM wajue kwamba kuna MAOMBI YA KIMYA KIMYA YANAENDELEA NCHI NZIMA SIJUI HAYO WATAYADHIBITI VIPI....Labda kwa kutumia watu wasiojulikana ambao Mungu ANAWAJUA VIZURI SANA....Tusubiri matokeo.

Nadhani walichosema ni mikusanyiko, labda ungejenga hoja kuwa , hivi mikutano ya kiroho ambayo hufanyika hadharani uwa imakuwaje?
 
Hii issue itasahaulika wala hakuna mtanzania atahangaika nayo. Kwani mangapi yamekuja na kupita. Binadamu tumeumbwa kwa kusahau
Ndugu yangu watu wanaweza kusahau, lakini hukuwahi kusoma mahali kuwa "Yeye Bwana, Mungu wa Yakobo, hasinzii wala hasahau. Maana ameapa kwa ajili ya utukufu wake, atatimiza. "Endeleeni kumwaga damu za watu wasio na hatia halafu mnajifariji kuwa "watu watasahau".
 
Huyo Mungu unayesema ni Mkubwa na ana busara siyo Mungu tunaye mwabudu....!!!!
Mungu mwenye busara hawezii kuyaita MAOMBI YA WATU KUMWOMBEA LISSU ALIYEKO ICU ATI NI YA SHETANI.........Ulichosema ni KUMKUFURU AU KUMTUKANA MUNGU NA USIIPOTUBU UTALIPIA MUDA SI MREFU......!!!!Just mark my words. Ninajua naongea nini......!!!!!
Havisaidii hivyo The almighty God anaangalia kwa undani ....nia na madhumuni yenu yameshindwa.... Thanks Lord our motherland Tanzania inazidi kwenda kwenye right direction....
 
Kuna watu watapofuka kabla ya kufa believe me.. kama yule wa zanzibar malipo hapa hapa dunian
 
Havisaidii hivyo The almighty God anaangalia kwa undani ....nia na madhumuni yenu yameshindwa.... Thanks Lord our motherland Tanzania inazidi kwenda kwenye right direction....

That is a right direction to HELL.......!!
CCM na Serikali yenu ndiyo mmeshindwa kwa kutaka kumwua Lissu na hakika Mungu yuko upande wa Lissu na Mungu ndiye atalipa kisasi maana VITA NI VYA BWANA..........!!
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Sio kweli, ugumu wa maisha Unapeleka hata kidogo ulichonacho ukishikilie kwa nguvu. kama unadhani ccm inakubalika hivyo Subiri 2020.
 
That is a right direction to HELL.......!!
CCM na Serikali yenu ndiyo mmeshindwa kwa kutaka kumwua Lissu na hakika Mungu yuko upande wa Lissu na Mungu ndiye atalipa kisasi maana VITA NI VYA BWANA..........!!
MUNGU wenu hana NGUVU na hawezi kushindana na MUNGU wa ABRAHAM na wa viumbe vyote vingine kasoro NYINYI WACHACHE MLIOJITOA UFAHAMU...
MUNGU wa LISSU hana tofauti na MUNGU wa ACACIA.....MUNGU wa Canadian Stirling Civil Engineering Limited Sterling
Kuzulumu PESA za kodi za masikini Tanzania.....
MUNGU wa LISSU anachukua sadaka zinazokusanyawa kwa advantage of ignorance of the Law...na ujanja ujanja wa kucheza na vifungu....
 
Back
Top Bottom