Serikali ya CCM imejiandalia Anguko takatifu...

Mada ni inahusu MAOMBI haya ya michango umeona mstari hata mmoja umesema hivyo? peleka Mawazo yako ya mgando kushoto. Ni gazeti gani limetoa taarifa ya jumla za ela zilichochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahhhhhh. Mungu hawezi jibu maombi ya kisanii hivyo. We umeona Lini Serikali iliingilia kusali kwa Watu. Shida yenu mnadhani Mungu ni wa kufichwa mgongoni mwa siasa chafu. Sala zenyewe kikawaida Tu Hamsali. Kibiti wamekufa wangapi. Wale Segerea nk huyo ROHO MTAKATIFU sifa yake kubwa ni UTii. Na sijui huko upande wa pili. Vifungu vinasemaje. ACHENI USANII KWA MAMBO YA GOD.
 
Tena

Tena ni anguko kubwa. Mungu hadhihakiwi. Huwezi kusema "msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Niombeeni" Wakati wewe ni baladhuri na muuaji.
Baradhuli mkuu ni yule anayeshuhudia mambo ya kusdikika na kujiona kuwa mungu ni mjombake share
 
CCM haianguki tuache kujazana upepo ....tena sasa wanahoja na fursa ya kujitetea kuliko wakati wowote ....wapinzani wetu bado saaaaaaaana ....ukweli mchungu kwelikweli ....
 
Bunge kumchangia pesa nyingi kuliko wanachama Na wapenzi wa chadema Ndani Na nje ya nchi wakijumlishwa pamoja. You have lost popularity mumebakia kwenye mitandao na media tu ambao hawawachangii chochote pamoja na kuuza sana habari zenu na kupata pesa iwe magazeti nk. Chadema siku zenu za kupendwa Kama wali Ndani na nje Ya nji enzi Za dr Slaa zimeisha.
Hebu soma heading kisha ichangie kama inavyosomeka na kama huna cha kuchangia pita zako! Michango haiwahusu kwani hata asipopata kwa wanachama atapata kwineko walikoguswa na tukio hili la kibazazi na kibabe! Hawezi kupoteza maisha kwa kukosa michango ya wanachama kama vile hakupoteza maisha kwa idadi ya risasi zile!
Shangilia na furahia sana ila atapona na kurudi japo na makovu.
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Wewe ni mzima?

Wenzio tunaongelea Tundu Lisu ambaye wafuasi wa shetani walitaka kumtoa roho yake lakini Mungu wa upendo alimlinda.
 
Chadema sasa wanasubiri miujiza.
Mkiwa na chama kinachoamini katika albadiri ili kufika ikulu ni hatari sana
 
Kitendo cha Serikali kuanza kuzuia Watz wenye mapenzi mema kumwombea Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria wa CHADEMA na Mnadhimu Mkuu wa KUB Mhe. Antipas Tundu Lissu zina akisi taswira hasi kwa jamii ya Kitanzania na ishara mbaya sana.

Baada ya TL kupigwa risasi 28-38 kuna Watanzania mamia kwa maelfu waliguswa na tukio hili na wakaamua kujitolea damu, kufanya maombi makanisani na kusoma albadir Misikitini ili kuonyesha mapenzi mema walokuwa nayo kwa Mtanzania mwenzao TAL. Jambo la kushangaza ni kwamba mambo yote haya yamekatazwa na kuzuiliwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa sababu zisizo na msingi. Wakti Baba wa Taifa anaumwa, Mkapa anaumwa, Kikwete anaumwa, Marehemu Sitta anaumwa na Job Ndugai anaumwa, Serikali ilihimiza watu waombe ili kuleta uponyaji. Ni bahati mbaya tu Mzee Sitta ndiyo Mungu aliruhusu kumchukua. Leo iweje watu wazuiwe kuomba kwa ajili ya Tundu Lissu?? Kuna nini??

Kama serikali imefikia mahali pa kuzuia hata ibada kwa ajili ya kumwombea Mtanzania mwenzao aliyepigwa risasi 38 kama mnyama tena mchana kweupe kwenye viunga vya Bunge na hawa watu wasiojulikana wakatokomea kusikojulikana ni hali ya hatari sana. Kama sheikh, Padre, Askofu au Mchungaji na waumini wao watazuiwa kuombea ndugu zao walio wagonjwa, wenye shida na uhitaji kwa namna yoyote ile ni kwamba Serikali ya CCM sasa imeamua kupambana na Mungu.....!!!

Mungu siku zote huwa hataki kuwa beeped! Uki-beep yeye anapiga moja kwa moja. Sasa Serikali hii ya CCM na ya JPM imeamua kum-beep Mungu kwa kuzuia watu kufanya ibada zao kumwombea ndugu yao Antipas Tundu Lissu. Tusubiri, mbona ni swala la muda tu na Mungu atapiga!!Anguko lake CCM watajuta kwa kosa hili la kumpuuza Mungu wa Mbinguni..!!!
CCM wajue kwamba kuna MAOMBI YA KIMYA KIMYA YANAENDELEA NCHI NZIMA SIJUI HAYO WATAYADHIBITI VIPI....Labda kwa kutumia watu wasiojulikana ambao Mungu ANAWAJUA VIZURI SANA....Tusubiri matokeo.
Subiri ibadilishwe gia angani utaliona hilo anguko la CCM.
 
Hakiwai kwaombea viongoz walio pigwa risaz pwani mbona hamkiwaombea waliokiwa wanauawa kila siku au so watanzania au mlikiwa mnawauwa wenyewe mlipanga kuwauwa watanzania wenzenu kwakuandaa mipango yenu na vibaraka wenu sasa wamewageuka watawmaliza
 
Mliwauwa maasikar wenyeviti wa mtaa masikini hawakiwa na hatia mkafulahia sikuona mnafanya maombi kuwaombea na families zao zilizo schwa yatima mlivyo na roho ngumu sasa yaangalie mlitega mtego unawarudia
 
Ni lazima tutafautishe maombi ya kidini. Haya maombi hufanywa misikitini ama kanisani, hata hao viongozi uliowataja hawakupmbewa viwanjani NA halikuwa jambo la kisiasa.

Albadiri sio maombi bali ni silaha ya uuaji kama silaha zilizotumika kumuumiza TL, sasa kwa nini mnaililia? Hata waislamu wanamieleza kuwa Albadiri ni haramu NA haitambuliki lakini nyie bado mnaitetea.

Ushambulizi uliofanywa kwa TL, ni dhulma NA halikubaliki NA ni lazima ukweli ujulikane NA wahisika wapatikane
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Unachokisema hata ww mwenyewa unajua siyo kweli..!!
Kama CHADEMA kimechokwa kwanini Serikali yenu inatumia mbinu chafu kulazimisha Watz wakichoke CHADEMA...??
CCM ndiiyo mmechokwa na hilii la kuanza mipango ya kutaka kuua Viongozi wa CHADEMA tena mchana kweupe ndiyo liinaenda kuwaziika kabisa!!!!!!Watz wanaona na wanajua kila kitu......!!!WATU WANAOTAKA WASIJULIKANE hufanya mambo yao usiiku wa giiza nene!!!!!!Lakiini muuaji wa MCHANA KWEUPE LAZIMA ANAJULIKANA NA UMMA UMESHAJUA ni nani wahusika wa unyama huu.......!!!!
 
VIPI ALBADIR IMESHINDWA KUFANYA KAZI??????...... KWANI MKITAKA KUOMBA LAZIMA MUITE MA CAMERA NA WAANDISHI NA MTANGAZE JAMII FORUMS NDO SALA ZITAFIKA MBINGUNI??,KAENI MAJUMBANI MSALI NA MKAE KIMYA MKISUBIRI MAJIBU YA MLIYOYAOMBA,MKIONA KIMYA BASI MJUE YALIKUWA YA KINAFIKI YAMEISHIA HEWANI,HAYAJAFIKA MBINGUNI.
 
Umesahau lile bango la hapa JF "Ccm kufia mikononi mwa Kikwete" hizo dua za kuku banaa. Subirini pigo takatifu 2020
 
Huyo anayekataza maombi na wakati anahangaika kwenye makanisa akiomba aombewe,kesha laaniwa.maombi yote yaliyofanyika juu yake yameshageuka laana,kwakua alitaka kumuua Lisu,sasa hakufanikiwa,anataka asimamishe maombi ili Lisu afe ! Hafi huyo, wewe ndo hicho kijisbine rohonj kitafyatuka na utazimika.ona nchi ilivyonyanyuka na kushikana kwa ajili ya Lisu,bila kujali tofauti za itikadi,dini,makabila,huu ni ujumbe mkuu kwa muuwaji,kwamba wananchi walio wengi wakimlilia Mungu taifa litasimama tena na hutauwa watu kikatili tena.Amen
 
Kitendo cha Serikali kuanza kuzuia Watz wenye mapenzi mema kumwombea Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria wa CHADEMA na Mnadhimu Mkuu wa KUB Mhe. Antipas Tundu Lissu zina akisi taswira hasi kwa jamii ya Kitanzania na ishara mbaya sana.

Baada ya TL kupigwa risasi 28-38 kuna Watanzania mamia kwa maelfu waliguswa na tukio hili na wakaamua kujitolea damu, kufanya maombi makanisani na kusoma albadir Misikitini ili kuonyesha mapenzi mema walokuwa nayo kwa Mtanzania mwenzao TAL. Jambo la kushangaza ni kwamba mambo yote haya yamekatazwa na kuzuiliwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa sababu zisizo na msingi. Wakti Baba wa Taifa anaumwa, Mkapa anaumwa, Kikwete anaumwa, Marehemu Sitta anaumwa na Job Ndugai anaumwa, Serikali ilihimiza watu waombe ili kuleta uponyaji. Ni bahati mbaya tu Mzee Sitta ndiyo Mungu aliruhusu kumchukua. Leo iweje watu wazuiwe kuomba kwa ajili ya Tundu Lissu?? Kuna nini??

Kama serikali imefikia mahali pa kuzuia hata ibada kwa ajili ya kumwombea Mtanzania mwenzao aliyepigwa risasi 38 kama mnyama tena mchana kweupe kwenye viunga vya Bunge na hawa watu wasiojulikana wakatokomea kusikojulikana ni hali ya hatari sana. Kama sheikh, Padre, Askofu au Mchungaji na waumini wao watazuiwa kuombea ndugu zao walio wagonjwa, wenye shida na uhitaji kwa namna yoyote ile ni kwamba Serikali ya CCM sasa imeamua kupambana na Mungu.....!!!

Mungu siku zote huwa hataki kuwa beeped! Uki-beep yeye anapiga moja kwa moja. Sasa Serikali hii ya CCM na ya JPM imeamua kum-beep Mungu kwa kuzuia watu kufanya ibada zao kumwombea ndugu yao Antipas Tundu Lissu. Tusubiri, mbona ni swala la muda tu na Mungu atapiga!!Anguko lake CCM watajuta kwa kosa hili la kumpuuza Mungu wa Mbinguni..!!!
CCM wajue kwamba kuna MAOMBI YA KIMYA KIMYA YANAENDELEA NCHI NZIMA SIJUI HAYO WATAYADHIBITI VIPI....Labda kwa kutumia watu wasiojulikana ambao Mungu ANAWAJUA VIZURI SANA....Tusubiri matokeo.
hakuna madhara yoyote watu kuombea mpendwa wao apone.Hivi wakitangaza ndani ya makanisa yao watakatazwa na kuingiliwa taratibu za ibada zao? Ni ubinadamu tu ndiyo unawasukuma kuombea binadamu mwenzao na wala si itikadi za vyama.
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
propaganda katika ubora wake
 
Back
Top Bottom