kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Serikali imegeuka ya ajabu na kupita maelezo watu wapo tu busy kudeal na kulipiza visasi huku wananchi wakiumia.
Kamata kamata ya ajabu ajabu huku muda ukienda. Time is money tunapoteza muda kudeal na mambo ya kina lema na lissu kuwafunga na kuwanyima dhamana bila kujali wananchi wanahitaji nini.
Mfumuko wa bei kila siku kilo ya unga 2000, Debe la mahindi 22500, Tambi kuna sehemu zauzwa 2000, Nyama kilo imefika 9500, Mafuta ya kupikia. ta 4500, inakimbilia 5000 halafu unahubiri kuwa wewe ni raisi wa wanyonge looooh labda wanyonge wenzio
Mawaziri na maDC na maRC wasiojielewa. Waziri wa Nishati na Madini tu Professa Muhongo ndo ana afadhali angalau haingizi siasa kwenye kazi.
Wengine kick tu kama kina Kigwangala kudeal na kina Dr Mwaka, na kina Kaoge tu huku hosptali hamna vitanda.
Hii nchi inahitaji maombi sana tukemee huu ujinga wa awamu hii;
Ujinga ni maradhi mabaya sana.