Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,248
- 6,268
Ahahahahah. Samadi na watu wakapiga vigelegelehao ni wazee wa pindua pindua wanaweza pindua samadi ya binadamu kuwa keki na watu wakashangilia
Ahahahahah. Samadi na watu wakapiga vigelegelehao ni wazee wa pindua pindua wanaweza pindua samadi ya binadamu kuwa keki na watu wakashangilia
Tatizo hata yale maswali waliyojitungia pia wamefeli
Nyie ni mashine za kusifia..mmewekwa kwa kazi hiyo....wala hamtubabaishiHaya Ni maneno tu ya kawaida Kama stori nyingine tu. Ila ukweli Ni kuwa JPM KIboko ya mafisadi,KIboko ya waiza wa rasilimali zetu, KIboko ya wauza unga,KIboko ya waliohodhi ardhi
Hapo umepatia sana. JPM asilimia tisini na tisa (99%) anawaza kuzuia na asilimia moja (1%) kuendeleza hasa linapokuja swala na maendeleo ya watu.Haya Ni maneno tu ya kawaida Kama stori nyingine tu. Ila ukweli Ni kuwa JPM KIboko ya mafisadi,KIboko ya waiza wa rasilimali zetu, KIboko ya wauza unga,KIboko ya waliohodhi ardhi
Lakin mimi naona bora uyo mwanafunzi anaweza akawa na plan B kuliko serikali ambayo haina matumaini ata moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha longolongo wewe msifia chochote, walipeni kwanza wakulima wa korosho korosho zao
Hiyo ya mwaka 2020 Jijazieni hiyo mikura yenu hata kama mpate100%, lakini haiondoi ukweli kuwa nchi imewashinda!, mmechemsha!. Uhalali wenu ni Polisi, Tume na Usalama wa Taifa tu lakini hamna legitimacy mbele ya umma kama uchaguzi unakuwa wa huru na haki!
Atleast uzi wa kufungia mwaka umepatikana mapema tu
Afu hizi propagandaa zao hawajui zinawachosha watu,yaan kila siku n yale yale,stiglerz,ndege stgr,imekua kama mwalimu anaeifanyia topic moja revision more thanb10 times,wanafunz wataona hakuna tena jipya n michosho tu.....nayo ndo serikali hii inafanya,watu wanataka kuskia kitu kipya ila wao n vile vle tu wanarudia..shame on this gvrntHahah, Serikali hii inachoweza ni propaganda na kucheza rafu kwenye haki za watu.
Umebaki mwaka mmoja ufike uchaguzi mkuu.
Vitu tangible vya kutuonyesha kuwa wamefanya ni vichache vichache mno, Ila propaganda zao sasa duh, utadhani bongo kama New york
Kwa taarifa yako, Dkt Magufuli hajawahi kufeli, na hii NECTA ya uongozi mpaka sasa ana single digit (A zoote), tunawasubiri nyie watabiri fake muumbuke maana watanzania tunamuamini kwa 100% na kila nchi duniani inatamani rais wao awe Dkt Magufuli!Serikali ya awamu ya tano inanikumbusha enzi zetu tunajiandaa na NECTA. Kabla ya Necta ukipewa test darasani ukafeli unajipoza kwa kujiambia kuwa hii siyo NECTA, NECTA ikija nitakuwa nshakuwa fiti nitapasua tu.
Mara siku zinakwenda zinasogea mara NECTA hiyo!, Paper ya Kwanza unakuwa makini kwelikweli, unasoma Instructions zote ili usije ukakuta ile Instruction labda imeandikwa "DONT ATTEMPT ANY QUESTION" halafu ukafeli!. Unajiridhisha kuwa hiyo instruction haipo!.
Ghafla unaruhusiwa kufunua pepa ili uanze mtihani,Kitu cha kwanza unagundua lile feki ulilolipata kutoka wajanja wa shule ya Jirani ni famba, unapaniki kidogo lakini ghafla unakutana na kiswali fulanifulani hivi kirahisi Unakitembeza fasta, sasa inakuja Muda kila Swali unalogusa HALITEMBEI!!, Unafunua Section B ndo balaaa, yaani mtu unajiona unataga hivihivi!, Section A pa moto, SECTION B ndiyo balaa
Sasa basi unaanza kugusa swali hili, haligusiki, unahama unagusa swali jingine ndiyo balaa!. Ukiinua Shingo kuwaangalia rafiki zako hakuna wa kukusaidia!. Unaomba kwenda Toileti unasindikizwa na afande, haja ndogo haitoki unarudi kukaa Invijileta kakutolea macho!. Yaani Unajiona hivihivi mzee unazunguusha!.
Sasa kadri siku zinavyosonga, mitihani umeshaizoea, unaanza kuichukulia poa, unafanya bora liende, hauna umakini tena
Mara tahamaki NECTA imeisha, Matokeo yanakuja UMEZUNGUUSHA!
Sasa Serikali hii ya awamu ya Tano haina tofauti na mwanafunzi huyo hapo juu, iliingia kwa mbwembwe huku ikiwa na Feki lake (ILANI), kufika kwenye Chumba cha mtihani (KUONGOZA) ikabahatika kukuta ishu nyepesi za sherehe ya Uhuru, ikaahirisha kusherehekea, Ikakuta ishu nyingine nyepesi ya kujenga hosteli fasta ikatembeza hilo basi Ikaona sasa mambo safi, Itapiga WANI , Thubutu!. Haijakaa sawa ikapigwa swali la Tetemeko Kagera, Ikapigwa swali la Sukari, Ikapigwa swali la nyongeza na stahiki za wafanyakazi, Hapa ikaanza kuchanganyikiwa!, Ikaanza kugusagusa tu maswali na kukosa majibu, mara Mbaazi chali, Mara Makinikia Chali, Mara kukamata Almasi Airport chali, Mara Kikokotowo chali, Mara Korosho Chali, Mikopo, Ajira kwa wananchi chali.
Baada ya Pepa kuwa ngumu ikaaza kujitungia maswali ambayo hata hayamo kwenye NECTA, Imejitungia Swali la Kuhamia Dodoma lakini hata ilivyolijibu imekosa!.
Swali la ndege iliamini imepata, ila naona polepole kumbe imeanza kugundua kuwa badala ya kufanya kuwa ni kipeo (Square), yenyewe imechukua Kipeuo (Square-root), Confidence zimeanza kushuka!
Imeacha maswali ya msingi kwenye pepa kama vile KATIBA MPYA maana hili kwa mujibu wa sheria ya mabadiriko ya Katiba ni Compusory!.
Sasa inafanya swali la SGR na Stieglers, Hebu ngoja tuone ila naona INVIJILETA ameshaanza kuangalia saa yake na kusema "TIME LEFT is one year and few months"
Na kwa jinsi pepa ilivyo ngumu imeanza kufikiria kuchora kwenye answersheet katuni ya "ZOMBI HAJAVAA VIATU!
serikali hii kwa namna inavyoshuka hili pepa, mimi naona ITAZUNGUUSHA TU!!!, It is a matter of time!