Siyo wivu ni vilaza wa kiwanga Cha Sgr Sasa kwa nini wasiambiwe? Tanzania ina watu wengi wazuri lakini hawaonekani ndio maana hatuendelei Phd feki anachojua tozo tu shameWivu kwa Makamba na Mwigulu unawakosesha usingizi aisee!!
Wewe umelifanyia nini cha maana taifa hadi kufikia kuita wenzako vilaza?Siyo wivu ni vilaza wa kiwanga Cha Sgr Sasa kwa nini wasiambiwe? Tanzania ina watu wengi wazuri lakini hawaonekani ndio maana hatuendelei Phd feki anachojua tozo tu shame
Kilaza kimoja hapo kiliwekwa kwa lengo la kupitishia pesa kwenda kisiwani .yaani ni empty headed ati PHD dah.Siyo wivu ni vilaza wa kiwanga Cha Sgr Sasa kwa nini wasiambiwe? Tanzania ina watu wengi wazuri lakini hawaonekani ndio maana hatuendelei Phd feki anachojua tozo tu shame
Hata wewe huna akili,kuifanyia jambo nchi yako sio mpaka uwe kiongozi.Hauna akili, sasa huyu unayemuhoji kaifanyia nn nchi ye ni kiongozi wa wizara gani ua kapewa sehemu gani atuongoze hapa Tz?!
Engineer waziri mdogo wa Finance hataweza kujibu maswali! Mwingine PHD fake!
Wivu wa nini? Hao dhaifu hivyo!Wivu kwa Makamba na Mwigulu unawakosesha usingizi aisee!!
February ma rope?Mwingine aliiba mtihani A level.
Alicho ifanyia nchi yake ni kulipa tozo zote, kwa uaminifu, je? Unalingine wewe kilaza.Wewe umelifanyia nini cha maana taifa hadi kufikia kuita wenzako vilaza?
Sina lingine my beautiful wife.Alicho ifanyia nchi yake ni kulipa tozo zote, kwa uaminifu, je? Unalingine wewe kilaza.
Hayo utajua wewe kilaza maana bado unaonesha ukilaza wakoSina lingine my beautiful wife.
February ma rope?
Mwingine aliiba mtihani A level.
kwa hiyo mzembe asiambiwe mzembe kwa sababu sisi hatajawahi kuwa wazembe? camoonWewe umelifanyia nini cha maana taifa hadi kufikia kuita wenzako vilaza?
Mawaziri hawakupaswa kuwa Wabunge wa kuteuliwa,
Hawa walitakuwa watoke kwenye Taasisi zinazohusika na Wizara husika kwa Mkataba maalumu
Mawaziri hawakupaswa kuwa Wabunge wa kuteuliwa,
Hawa walitakuwa watoke kwenye Taasisi zinazohusika na Wizara husika kwa Mkataba maalumu