Serikali vs tcu.

Serikal ya jamhur ya muungn ya tz,imeingilia kati suala la TCU kuchelewa kutoa majibu lasimi ya vjana wenye sfa za kujiunga na vyuo nch na inasemekama kuwa TCU wamepewa saa 24 tu wawe wametoa majina hayo ikiwa ni pamoja na HESLB.Hvyo wana jamv wenzangu kuanzia saa 10 na kuendelea tembelea webst ya tcu wanaweza kuwa wameweka.Lazima iwe leo.

Kwa mujibu wa taarifa yako masaa 24 yana isha leo saa 6 mchana, ni kama masaa ma3 toka sasa, kama taarifa yako ni ya uongo utawakoma wana jamvi
 
Ha ha ha ! Unanifurahsha sana NingaR,huyu tumsamehe tu.Mi jana nilimwambia ikifika kesho(leo) ambayo itakuwa jmosi itakuwaje? Akasema tusubiri.
 
Last edited by a moderator:
serikal ya jamhur ya muungn ya tz,imeingilia kati suala la tcu kuchelewa kutoa majibu lasimi ya vjana wenye sfa za kujiunga na vyuo nch na inasemekama kuwa tcu wamepewa saa 24 tu wawe wametoa majina hayo ikiwa ni pamoja na heslb.hvyo wana jamv wenzangu kuanzia saa 10 na kuendelea tembelea webst ya tcu wanaweza kuwa wameweka.lazima iwe leo.

tumekuongeza another 24hrs
 
Wakuu tuwe wavumilivu tu,hata wachelewe vipi lazima watatoa tu allocation za loans.
 
tumekuongeza another 24hrs

naomba msamaha wenu wana jamv mchana nilijarbu kuongea na yule bwana akadai jana walshndwa kumalza kzi yao kwan inaonekana kuwa ngumu na hvyo akaniambia mpak jtatu,ila sito waahidi tena but just weit.Pia kama kuna mwana agrbusnes ambaye jina halionekan SUA.pia kadai jtatu ndo itaeleweka.SAMAHan sana wangwana wenzangu.
 
Haya hakuna shida!! wacha tusubiri hiyo juma tatu
 
Back
Top Bottom