Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

Let them declare state of emergence!
 

Ndo umeumiza kichwa kwa kufikiria mpaka mwisho hapa? Duh!
 
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kawe.

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wakazi wa Kawe wakiwa juuu ya paa la nyumba wakati wa mkutano CCM wa kumnadi
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kawe kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
Wananchi wa Kawe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kawe Kippi Warioba kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika viwanja vya Bunju A.
VIJANA TUPO NA LOWASA
 
Safi sana hii. Wote mkiwa na akili hii watakaopiga kura ni wana CCM tu
 
..we kasimame mita 5 au 10 au mia au 200,
jumatatu tukusaidie kukufunga P.O.P la mguu na la mdomo
 


Kitu kidogo sana kinashangaza, mna wasi wasi gani kwa hawa wapumbavu kufanya hicho wanachoita kulinda kura, si mkalale... tatizo nini???
 
bna hacha utani, kaulizie, ulizie uko mahakama kuu, hukumu imekuwaje, then utupashe kamanda. hutani huu ni kama wa Babu na wajukuu
 
Serikali inajichanganya.Kama walikuwa hawaipendi hii sheria basi wangempelekea Mama Makinda muswada wa dharula ili aifute hii sheria.
Vitendo vya serikali ni vya kuchochea uvinjifu wa amani.
 

Ikiwa kuna msiba na ndio siku ya mazishi?
 


umeambiwa usilinde kura, we ukalinda kura........"UTAPIGWA TU----NA MIMI NASEMA POLIS MUWAPIGE TU" maana hakuna namna, lazima wote tukubaliane nchi hii inaongoza kwa sheria na kanuni zake.Sasa wewe unajifanya ngangari "UTAPIGWA TU".
 

Wewe jamaa umetumia akili sana......mwambie Lowassa achombeze hii katika kikao chake na watanzania leo usiku
 
Tutalinda kura zetu bora tufe kuliko kuwa chini ya utawala wa CCM
 
Mwaka huu ccm mna hofu gani wananchi kwenye kulinda kura?
Mwaka huu ccm kuondoka madarakani ni lazima hakuna njia kama mnategemea bao la mkono imekula kwenu
PIGA KURA
LINDA KURA .

LOWASA NDO CHAGUO LETU NDO RAISI WETU MTARAJIWA.
 
Ccm imefulia yan watu kukaa kuongea pia kunahatarisha amani, kusherehekea kunahatarisha amani, kwahyo siku ya uchaguzi watu wakae km kuna msiba kila nyumba mwisho wa siku watatuchagulia mpk chakula cha kupika na muda wa kulala
 
Sheria ya uchaguzi haitatumika tena kwenye hili. watatumia sheria ingine na hata ya police ordinace. Na IGP jana kajaribu kwa kutumia hata makubaliano ya maadili vyama vya siasa na tume!
 
mimi binafsi ntapiga kura yangu na ntailinda,hizi nyingine ni porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…