Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

Ni wito wangu kuwa watanzania wote,tutapiga kura na kurudi majumbani mwetu na hatutakuwa tayari kushiriki vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani
 
Acha ujinga, tutapiga kura tutalinda kura zetu. Na tutatunza amani kwa mujibu wa sheria.
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 

Attachments

  • 1445586172414.jpg
    26 KB · Views: 151
hakika lazima tufanye hivyo kwa sababu kila mtu akilinda kura tunaweza hatarisha amani ya wananchi wetu na taifa kwa ujumla wake
 
Kulala lazimaaa...
Ukijifanya mtata utapigwa virungu
 
Sasa we.kiraka.
unataka.ulinde.kura kwani we polisi?
 
hakuna ulazima wa kulinda kura kwa sababu tuna mawakala wa kila ngazi na kila mgombea
 


Hawatatoa kwa sababu ni mpumbavu tu ataeenda kukusanyika kwa makusudi eti ya "kulinda kura".

Huwaamini mawakala wanne wa ukiwa dhidi ya mmoja tu wa CCM ndani ya kituo cha kura?

Msituletee upumbavu wenu mkataka kuvunja amani, kuna maisha baada ya uchaguzi.

Mngeanza kulinda wake zenu Rombo kule, sasa hivi wanatafuta mabwana Kenya kwa kuwa mmeshindwa hata kuwapa haki yao.

Unataka kufanya maandamno au kuweka kikundi cha kisiasa siku ya uchaguzi, nenda kachukuwe kibali, ukinyimwa ondoka.

Mita 200 nje ya kituo cha kura unalinda nini? Tuondoleeni huo upumbavu.
 
Magamba kwisaaa kabsaaa
 
Naamka asubuhi nasonga ugali nagonga na nyama saaafi nakunywa na maji safi salama nashika msaafu naswali

Nabeba kikatio naelekea kituoni naingia kwa foleni

Kila mwenye haraka nampisha mzee nampisha baba nampisha mama nampisha kila mwenye haraka nampisha

Nasambaza upendo huku navuna karama

Hapo nalinda kura kwa mita tano tyuuuu

Zuia goli la mkono

Vote for Edward Ngoyai Lowasa the president 2015-2025
CHADEMA


Piiiiiiiiiipoz na mita tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…