Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,599
Hahaha mbona hata umeme ule wa Stiglers Gorge tuliisha utumia, na hata ile reli ya SG iliisha kutambo wananchi hawaelewi nini?!
Tanzania ni first world country
Tanzania ni first world country
Serikali kupitia msemaji wake, Hassan Abbas imesema imeshagawa milioni 50 kila kijiji kama ilivyoahidi kwenye kampeni za mwaka 2015
Milioni hizo 50 kila kijiji zimetolewa kupitia elimu bure na ujenzi wa fly over
Kwetu "daraja la mungu" Kiwira.kijiji kipi kina fly-over??
Huyu Dr. Abbasi muda si mrefu atalazimika kuwa anatoa kauli kwa niaba ya serikali huku akiwa na Safari Larger pembeni.
Wale wanaojivunia sare badala ya sera.Kuna mazuzu yatakubali na kushangilia
Serikali kupitia msemaji wake, Hassan Abbas imesema imeshagawa milioni 50 kila kijiji kama ilivyoahidi kwenye kampeni za mwaka 2015
Milioni hizo 50 kila kijiji zimetolewa kupitia elimu bure na ujenzi wa fly over
DuuhDah! Kweli kuna kauli zingine zinaudhi lakn unaweza kuona ni kweli.Aliyesema Rais wa Tz anaongoza Maiti inaeza kua kweli Aise.
Mpwa kijani nina aleji nao aiseeeeeMpwa yako rangi gani? Mimi wamenipa ya kijani siitaki
Flyover ya Tazara ni msaada. Sio mkopo.msaada maana yake unapewa bure na hautarejesha hicho ulichopewa.
====
kwa misaada ya kifedha inayotolewa na nchi ziitwazo waisani urejeshwa na serikali. Urejeshwaji uchukua muda mrefu kati ya miaka 15 au chini kidogo ya hapo mpaka miaka 30. Hizo ela tutazilipa tu. Kwa hiyo fedha za flyover kutoka japan siyo msaada ni mkopo in disguise!