Serikali tumbueni viongozi wa BAKWATA

Serikali tumbueni viongozi wa BAKWATA

Bakwata maana ya bakwata. In baraza kuu LA waislam kila muislam anatakiwa kuitambua bakwata na si vinginevyo haijalishi uko dhebu lipi LA kiislam. na imesajiliwa kwa kisheria ya Baraza ufahamu si kitu cha kukikejeri na wiisla anaagiza utiifu kwa uongozi. Ulichosema kinachojiita bakwata sioni kama uko sahihi. Isiwe nakosea labda uko tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
BAKWATA wanajikejeli wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani, sababu ya/za kufunga siku ya Arafa ni zipi?

Na je, inawajibika kufunga siku ya Arafa kwa kuangalia wenzetu wanaosimama Arafa? Au tufuate mwezi kwa maana ni siku inayojitegemea ipo mahususi ndani ndani ya mwezi huu kwamba ni ibada/ funga inayojitegemea kwa kufuata masiku yake ya mwezi pasipo kuangalia mahujjaji wanafanyaje?

Swali jengine, kuna yamu tashrik;ni masiku matatu,katika haya masiku inawajibika kusali siku yoyote hii Eid adh'ha?

Lengo ni kutaka kufahamu.

Dharra, massoud
Ukisikia arafa ni eneo fulani ndani ya mji wa Makkah hivyo viwanja hivyo vinaitwa Arafa. siku moja kabla ya kuswali idd ie mwezi 9 ni ni nguzo kwa mahujaji kusimama viwanja hivyo na kufanya dua zao. so wakiwa hapo kwa wale wasiojaliwa kwenda hawana budi kufunga. tunafunga kwa sababu wako Arafa.
 
Bakwata maana ya bakwata. In baraza kuu LA waislam kila muislam anatakiwa kuitambua bakwata na si vinginevyo haijalishi uko dhebu lipi LA kiislam. na imesajiliwa kwa kisheria ya Baraza ufahamu si kitu cha kukikejeri na wiisla anaagiza utiifu kwa uongozi. Ulichosema kinachojiita bakwata sioni kama uko sahihi. Isiwe nakosea labda uko tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni balaa hilo sio baraza ingekuwa baraza lisingefanya ujinga huu
 
Ukisikia arafa ni eneo fulani ndani ya mji wa Makkah hivyo viwanja hivyo vinaitwa Arafa. siku moja kabla ya kuswali idd ie mwezi 9 ni ni nguzo kwa mahujaji kusimama viwanja hivyo na kufanya dua zao. so wakiwa hapo kwa wale wasiojaliwa kwenda hawana budi kufunga. tunafunga kwa sababu wako Arafa.
Kwa hiyo ikitokea huko arafa yakatokea machafuko waumini wote wakapigwa marufuku wasiende kwenye kisimamo cha arafa, Je waumini huku makwetu hatutofunga mwezi 9 kisa tu mahujaji hawakusimama arafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ikitokea huko arafa yakatokea machafuko waumini wote wakapigwa marufuku wasiende kwenye kisimamo cha arafa, Je waumini huku makwetu hatutofunga mwezi 9 kisa tu mahujaji hawakusimama arafa?

Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi kufunga bila arafa na pia bila arafa hakuna Hijja yaani ikitokea hivyo wewe hujaji inakupasa urudi tena mwaka mwingine maana hija yako haina sifa/batili. mkuu Hijja ni Arafa pasipo arafa hakuna hijja.
 
Kumbe mange anasemaga kweli kuhusu bakwata
 
Ukisikia arafa ni eneo fulani ndani ya mji wa Makkah hivyo viwanja hivyo vinaitwa Arafa. siku moja kabla ya kuswali idd ie mwezi 9 ni ni nguzo kwa mahujaji kusimama viwanja hivyo na kufanya dua zao. so wakiwa hapo kwa wale wasiojaliwa kwenda hawana budi kufunga. tunafunga kwa sababu wako Arafa.
Kila funga ina sababu zake, kwa mfano.

Funga ya Jumatatu- ni Siku aliyozaliwa Mtume
Alhamis- Matendo ya mja ya wiki yanapandishwa Kwa Mungu. Kwa hiyo, ni bora kufunga hii Siku matendo yanapanda hali ya kuwa umefunga.

Yawmul baydh( masiku meupe)- Hii baba yetu Adam a.s alivyofanya dhambi alibadilika rangi. Hii funga ikamrudisha katika rangi yake ya kawaida.

Funga ya yamu Ashura- Kuokolewa wana wa Israel pamoja na nabii Musa a.s wakavuka katika bahari.Kuokolewa kutoka kwa Firauni.

Funga ya Ramadhan- ili tuwe wachamungu. Ni chuo kinachotuunda tuwe wema.

Funga ya siku ya Tisa ya Dhul' hijja- ni kafara ya kusamehewa madhambi yaliyopita na yajayo.

Ukitizama masiku kumi(10) yote ya Dhul' hijja siku Tisa zote ni za kufunga na zimeweka na faida za mwenye kufunga hizo siku. Swali linakuja;

Tunafunga Siku Tisa za Dhul' hijja kwa kufuata mwezi wa Dhul' hijja au tunawaangalia wenzetu wanaohijji masiku kwao yanakwendaje?

Nafahamu kuna ikhtilafi ila lengo langu ni kutaka kujua.
 
Hoja yako sijaifaham hebu nenda kwenye point acha kuzunguka kichaka. jikite kwenye Arafa na Idd. haya Bismilah nakusubiri
 
Haya Bismillah.

Kwa nini tunafunga siku Tisa za Dhul' hijja?

Kuna mahusiano gani kati ya funga ya Siku ya Tisa ya Dhul' hijja na kisimamo cha Arafa?

Je, kwa asiyefanikiwa kwenda kuhiji, kufunga siku ya Arafa ndiyo kafara yake?
 
huwezi kufunga bila arafa na pia bila arafa hakuna Hijja yaani ikitokea hivyo wewe hujaji inakupasa urudi tena mwaka mwingine maana hija yako haina sifa/batili. mkuu Hijja ni Arafa pasipo arafa hakuna hijja.

Sio kwamba funga ya arafa ni mwezi tisa bila kujali mahujaji wamesimama au la?
 
Kwa mujibu wa taasisi inayojiita Baraza Kuu la Waislamu Tanzania, siku ya Jumatano ndiyo ya Umul Eid el Hajj.

Mimi binafsi nimeshindwa kujua kwanini siku hii imekuwa tofauti na mataifa mengine ya Afrika Mashariki kama Kenya na Uganda. Ikumbukwe kuwa itikadi ya BAKWATA ni kuwa sambamba na Kenya na Uganda haswa kwa ishu za mwandamo wa mwezi. Sasa imekuwaje safari hii BAKWATA imeamua kuiarifu Serikali kuwa sikukuu ya Eid el Hajj ni Jumatano wakati kwa wenzetu wa Kenya na Uganda ni siku ya Jumanne ya tarehe 21 Agosti?

Na sio Kenya na uganda tu bali ni karibu mataifa yote ya dunia. Swali langu ni kwa hao masheikh wa BAKWATA; ina maana hao ndio wajuzi saana wa kutafsiri hadith pamoja Quran kuliko masheikh wa hayo mataifa mengine?

Kwa hili ndio maana nimeona ni vyema Serikali ikaamua kuutumbua uongozi wa BAKWATA kwani inaonekana wanatumia visivyo nafasi ya kusikilizwa na Serikali. Lingine BAKWATA ifahamu kuwa haitaweza kuwadanganya waislam wote wa Tanzania kwa wakati wote.

View attachment 842225View attachment 842226

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom