Serikali tuhurumieni

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,309
Reaction score
5,850
Salaam kwenu,

Ni watumishi wapya tokea tumeripoti mpaka leo serikali bado haijatulipa chochote.


Nadhani ukiajiriwa posho inabidi upewe ili uweze kuendana na hali ya kimazingira.


Kuna weingine mpaka leo washafikisha miezi miwili, na wengine unaendea mwezi.

Watumishi hao ni kada ya afya na elimu, kwakweli tunapitia kipindi kigumu sana, ukiangalia watu tunafamilia.

Tukifatilia tunaambiwa tunawaingizia kwenye accounts zenu, yaani mpaka leo ndo hivohivo, wala mshahara hatujui tutaupata lini.

Ndo mana watu wengine wanaamua kujiajiri tu ili kuepuka madhila kama haya.

Nihayo tu.
 
Niliachaga kazi ya ualimu nikajiajiri sahivi sipangiwi matumizi wala kusubiri Pesa
 
Mkuu thread hiiumeileta mahali SIPO....Humu chit chat wote matajiri hawatakuelewa ndugu yangu.
 
Subiri wafia chama watakapo kuja kukwambia kama hutaki " acha kazi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…