Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #21
Fitina hujibiwa kwa fitina. Sisi tunaujua mchezo wote. Waambieni wasubiri majibuPingeni kwa hoja madhaifu ya huo waraka
We unajua kitu gani sasa mamaa kwenye ule mkataba,na hukumu ya mahakama ulifuatiliaCCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?
Tulia we mtoto mdogo sana haya mambo huyajui. Uliza chadema mwaka wa 30 huu wanahangaika kuingia ikulu.Hapo kwenye wekundu ndo ulipochemkia..!!
Nyie katika imani zenu za chama SI MNASEMA FITINA KWENU MWIKO..!??
Tutaoneshana umwamba .hawa TEC wanataka kujifanya wanaijua sana siasa ya nchi hii.Naona Fitna za Slaa zinaanza kuzaa matunda
CCM huwa wanawaonea Bakwata tu kwa sababu ilianzishwa na Nyerere
We mtoto mdogo sana fitina za kisiasa nchi hii zimeasisiwa na CCM sasa hao TEC kama wao wanajifanya wanajua sana basi wasubiri majibu.Kwanza unatakiwa uijue TEC vizuri ndio unaweza kupambana. Hao sisiemu unaosema waachiwe TEC leo walikuwa ibadani na kumshukuru MUNGU kwa yote anayoyatenda
KABLA SIJATULIA MIMI MTOTO MDOGO SANA, KWANI FITINA KWENU SI NI MWIKO? AU SIKU HIZI FITINA KWENU SIYO MWIKO?Tulia we mtoto mdogo sana haya mambo huyajui. Uliza chadema mwaka wa 30 huu wanahangaika kuingia ikulu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mtashindwa na TEC ninyi Chama cha MajiziTutaoneshana umwamba .hawa TEC wanataka kujifanya wanaijua sana siasa ya nchi hii.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Unadhani DP World ni Wajinga kulazimisha sheria za rasilimali ziangaliwe kabla ya hizo HGA?Yes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Subiri utaona. Anaefanyiwa fitina ni mwenyekiti wetu wa Chama kwa sababu wanazozijua wao.CCM huwa wanawaonea Bakwata tu kwa sababu ilianzishwa na Nyerere
Lakini CCM hawawawezi hata Kanisa la Ufufuo na Uzima lililompeka Askofu Wao bungeni [emoji1][emoji1][emoji91]
Tukichokozwa tunajibu.KABLA SIJATULIA MIMI MTOTOMDOGO SANA, KWANI FITINA KWENU SI NI MWIKO? AU SIKU HIZI FITINA KWENU SIYO MWIKO?
Huijui CCM weweMtashindwa na TEC ninyi Chama cha Majizi
Kukitokea conflict between IGA and HGA ,IGA will prevailYes vinarekebishika kwenye HGA...
Sasa wale Maaskofu na usomi wao wameshindwa kuelewa nini??
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Hakuna chama cha siasa chenye watuNaishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
ExactlyFitina hujibiwa kwa fitina. Sisi tunaujua mchezo wote. Waambieni wasubiri majibu
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kadi ya chama upo nayo au na wewe ni Chawa?Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Kati ya Mafia na Majizi tuone nani mkali