montroll
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 319
- 126
Nyingi in insecure,
Kwasababu nyingi hazitendei kwa haki na usawa raia wake.
Nyingi zinadharau sana raia na taasisi zao,
Zinatafanya kila ziwezalo,baya au zuri kubaki madarakani
Kwasababu zimewatendea raia wake vibaya, vibaya sana!
Zina wasi wasi wa kulipiziwa visasi na raia wake!
HAZITOKI MADARAKANI KWA AMANI!
Zitakamata na kubadili kanuni bila kujali,
Ilimradi zibaki madarakani-ikibidi milele.
Huwaona raia wote isipokuwa 'wao', hawana thamani yoyote!
Hufikia kutamka watatawala milele,-kilele cha juu kabisa cha dharau kwa raia wake!
Inauma sana!
Nini kifanyike na raia wa Afrika?
Binadamu wote ni sawa kweli mbele ya sharia?.
an insecure person/group/class is the most dangerous one.
Watawala wengi wa ki-Africa wamejitengenezea wenyewe tena kwa mikono yao, insecurity yao.
Kuachia madaraka kwao ni last resort?
"they would rather die in power than.....!
Hawajalia sharia hata kama wameapa kuilinda sharia!
na hata na ma-kaasisi wote nao kimyaaa!
maskini raia wa Afrika.
madaraka wamepewa na nani?