Kwanini sio ya Chenge?Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole.
Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi.
Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja na hii ya Sasa zinamapungufu mengi.
Ufafanuzi tafadhali.Serikali 3 zinakwenda kuuvunja MUUNGANO....
Na serikali 2 ni takwa la nani ?Serikali 3 si takwa la watanzania walio wengi bali la WANASIASA...kwa ajili ya UPANA wa wigo wa madaraka tu....
Eeewaaaaa.....Ufafanuzi tafadhali.
.....letu wananchi wenye uelewa wa thamani ya taifa.....Na serikali 2 ni takwa la nani ?
Ccm acheni kujivika mamlaka ya kuamulia wananchi muundo wa serikali..... wananchi walishasema wanataka 3......letu wananchi wenye uelewa wa thamani ya taifa.....
Ajabu ni kuwa kila anapokuwa Rais Mzanzibari...baadhi yetu wabara tunataka muungano uvunjikeMuungano uvunjike tuu hauna faida kwetu bara zaidi ya hasara tupu
Wananchi gani ?!!!Ccm acheni kujivika mamlaka ya kuamulia wananchi muundo wa serikali..... wananchi walishasema wanataka 3.
Mhimu = muhimu. Nadhani katiba mpya iweke mkazo kwenye mambo ya elimu ili tupunguze idadi ya watu wasioweza hata kuandika vizuri kiswahili.Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole.
Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi.
Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja na hii ya Sasa zinamapungufu mengi.
Una faida gani zaidi ya kutuletea mikelele tu hapa. Watu wenyewe hawana adabu ubishi tupu.Serikali 3 zinakwenda kuuvunja MUUNGANO....
Nje ya Muungano kuna haya :-Una faida gani zaidi ya kutuletea mikelele tu hapa. Watu wenyewe hawana adabu ubishi tupu.