Chadema huwa hawapigiwi kura na wazanzibari ndo maana wanataka serikal 3 wakidhan watapata serikal ya tanganyika. Mnajidanganya
HAYO NI MAONI YA WARIOBA na siyo ya watu. mambo mengine hayataki ubishi bali ni common sense tuu. iweje vyama viwili viungane na kuzaa chama kimoja cha ccm. halafu leo hii zanzibar na tanganyika ziungane zibaki serikali tatu. ina maana jamabo hili joseph hakulihoji mwenyewe na kupendekeza nchi moja bila zanzibar kuwepo?mwambie akuonyeshe maoni ya watu, written, and recorded. Halafu kusema ni maoni ya Warioba ni kutowathamini wenzake katika tume. Ni afadhali ukahoji kama ni maoni ya tume au ya watanzania; siyo Warioba
Mi nataka serikali tatu ili wazenji wajitegemee maana wanalalama sana kuwa tunawanyonya.