Serikali tatu ni maoni ya warioba au ya watanganyika?

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Ni wazi wazanzibar hawakubali serikal 3, wanataka muungano wa mkataba. Warioba kila cku anasisitiza serikal tatu hata kabla ya mchakato wa katiba mpya akipewa support na sengondo mvungi. Jaman serikal 3 theoritically inawezekana, lakin practically haiwezekani
 
CCM wao wantaka serikali mbili!

Mawazo ya Warioba watayakataa kama jinsi CCM ilivyokataa mawazo ya tume zingine zilizopendekeza serikali tatu!
 
mwambie akuonyeshe maoni ya watu, written, and recorded. Halafu kusema ni maoni ya Warioba ni kutowathamini wenzake katika tume. Ni afadhali ukahoji kama ni maoni ya tume au ya watanzania; siyo Warioba
 
Mi nataka serikali tatu ili wazenji wajitegemee maana wanalalama sana kuwa tunawanyonya.
 
Ni maoni ya watanzania, wengi na mimi nikiwemo pia ko kusema ni ya WARIOBA si kumtendea haki.
 
Chadema huwa hawapigiwi kura na wazanzibari ndo maana wanataka serikal 3 wakidhan watapata serikal ya tanganyika. Mnajidanganya
 
Haya night maoni tu na yanaweza kuwa maoni ya mtu yeyote yule including Warioba na members wa tume ya marekebisho ya katiba kwa ujumla kwan nao n watanzania na wanahaki kutoa maoni yao. Nionalo mm n kwamba tujadili hoja bila kijali nani kaitoa. Tunayoikubali tuseme hii sawa tusioikubali tuseme sio sawa na tulete mbadala wake.
 
mwambie akuonyeshe maoni ya watu, written, and recorded. Halafu kusema ni maoni ya Warioba ni kutowathamini wenzake katika tume. Ni afadhali ukahoji kama ni maoni ya tume au ya watanzania; siyo Warioba
HAYO NI MAONI YA WARIOBA na siyo ya watu. mambo mengine hayataki ubishi bali ni common sense tuu. iweje vyama viwili viungane na kuzaa chama kimoja cha ccm. halafu leo hii zanzibar na tanganyika ziungane zibaki serikali tatu. ina maana jamabo hili joseph hakulihoji mwenyewe na kupendekeza nchi moja bila zanzibar kuwepo?
 
Tusipoteze muda kulumbana bali tuanze kufufua Tanganyika inayodidimia kiuchumi! Tanganyika irejeshe serikali yake ili kila moja ijitenge kwa muda wa miaka 10-15. Kisha tuone kama kuna haja tena ya muungano! Ikiwepo haja basi, uundwe muungano kadiri ya matakwa na hisia za wakati huo!
 
Nakumbuka kwenye mkutano wa azak za kiraia nakumbuka walipendekeza serikali tatu..... hilo sio la Wazo la warioba
 
Mtapotosha sana lakini ukweli utabaki.ni serikali tatu sana sana semeni tunaboreshaje serikali tatu .Kama ccm wamewatuma muda wao umepita.CCM is just a segment in total population of watoa maoni ccm ni sawa na cdm na nccr mageuzi ktk utoaji maoni wasijidanye kuwa wataweza ku-influence tume.Time is out of their control
 
Mi nataka serikali tatu ili wazenji wajitegemee maana wanalalama sana kuwa tunawanyonya.

mkuu ukiwasoma vizuri wazenji serikali tatu au nne sio suluhisho la malalamiko yao.wao wanataka mamlaka kamili but kuna mengine wanadai huwa nahisi kucheka,wanataka 50/50 kwenye mapato lakini sio matumizi.coz ukisema matumizi itakula kwao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom