Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
upo sahihi mkuu.
Karume alikubali muungano kwa kuwa lilikuwa sharti la Nyerere ili apewe nchi ya Zanzibar kwani mganda ndo alieongoza mapinduzi wakati Karume alikuwa anakula urojo mchambawima
Siitaji kuamini mnacho sema maana maisha kabla ya muungano sijui yalikuwaje kwa kutumia ufahamu wangu vijana wa kileo tumekuwa si wachujaji mambo hebu fikiria kama nyinyi wazazi wetu mnasema j.k nyerere aliiharibu nchi kwa vitu kamahivi c kweli kwani maisha ya kipindi kile ni tofauti sana na ya leo watu walikuwa hawana elimu ya kutosha mfano hai kipindi cha uongozi wa Abdu jumbe angeluwa si kiongozi makini sifahamu tungekuwa wapi pia kama sisi vijana wa leo ambao tunajulikana kama taifa la leo na si la kesho tungejivunia kitu gani tulicho kishikilia kwa miaka hamsini na kitu kwa upendo na ukarimu tusiwe wepesi wa kulaumu ila tunapaswa kujiuliza wapi penye ufa na tunapaziba au tujenge upya na tambua mawazo yako ila ukumbuke hao watanzani wa visiwani wakumbuke bila muungano wetu leo hii wasingekuwa walipo kwa usalama kwani asili ya visiwa hivyo ni mapinduzi je waliopindua hiyo inchi wote waliridhika na ugawji wa madaraka alioufanya mzee karume.kumbuka mapungufu yaliopo kwenye muungani ni mambo yanaowezekana kupatiwa ufumbuzi ila nimichezo michafu ya siasa za watu wachache wenye uloho wa madaraka na si masilahi ya Tanzania wala suala la katiba mpya jifunze kupitia manufaa tulionayo vijana leo tunapata fursa za kufanya biashara na kupata elimu ya vitendo kwa kwenda kujifunza zanzibar bila masharti.ahsanteni ni mimi kijana wenu joseph
Tanzania Daima gazeti la Chadema,habari za kilaghai laghai,kutoka chama cha Kilaghai
Toka nimeanza kusoma reply zako leo nimekuelewa vizuri.Nakuunga mkono kwa hili mkhekuu.
Tanzania Daima gazeti la Chadema,habari za kilaghai laghai,kutoka chama cha Kilaghai
Wewe pinga hoja usihangaike na karatasi, UN wamesema wao hawana kumbukumbu yeyote ya hati ya muungano wewe unamawazo gani UN waongo au?Tanzania Daima gazeti la Chadema,habari za kilaghai laghai,kutoka chama cha Kilaghai
Njija Munyampaa, njija.
This is chasing shadows, blame game and never take responsibilities sickness..., kama aliyeharibu nchi ameshafariki, Je sasa nchi ni nzuri kuliko alivyokuwepo ? au nchi ilikuwa nzuri kabla hajaingia madarakani ? au kwanini isiwe nzuri sasa ameshaondoka ?
If you blame others for your failures, don't forget to credit them with your success
Msigida
kuphenja ntoni weev??
kama wewe nimnyataru feki usiwahalibie wanyaturu wengine wenye ufaham kwa kuunga mkono upuuzi.
kipi alichokiandika Foxy cha maana kionekane cha maana zaidi ya mtazamo wake wa jicho la udin dhidi ya Mwal J K Nyerere?
Je nawewe upo kupinga legitimacy na weledi wa Nyerere kwa mtazamo huohuo?
halafu huwa najisikia vibaya wassira linavyoongelea muundo wa muungano.
unaweza kufikiri nae alichangia mawazo wakati wa kudisign muungano, kumbe ni limelishwa tu maneno kama roboti.
kama mpo wenye uelewa na matoleo ya binadam mnisaidie,
je huyu ndugu wassira ni binadam version gan?
Faiza tunaomba msimamo wako kuhusu muungano. Mbili au tatu au usiwepo kabisa?Utafananisha uzuri wa nchi ulivyo sasa hivi na wakati wa Nyerere?
I am so sure you were not there, otherwise usingebwabwaja hovyo humu.
Utafananisha uzuri wa nchi ulivyo sasa hivi na wakati wa Nyerere?
I am so sure you were not there, otherwise usingebwabwaja hovyo humu.
FixUtafananisha uzuri wa nchi ulivyo sasa hivi na wakati wa Nyerere?
I am so sure you were not there, otherwise usingebwabwaja hovyo humu.
Kwenye Mambo ya Muungano hakuna CCM wanaotaka Serikali 3?Fix
Usiwe kigeugeu.Tunajua ww ni muumini wa CCM
FaizaFoxy msimuhukumu wapo wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka CCM ambaye ni kati ya akina Lembeli Filikunjombe, Lugola na wengineo alionesha ujasiri wa kugomea Serikali 2Mjumbe alazimishwa kupiga kura ya wazi - Mzalendo.net
Al- Shymaa Kweigyir Amwaga machozi baada ya kuzomewa, kuitwa msaliti