Wakuu, hii ni aibu ya kustaajabisha mda ni ya Serikali hii dhaifu ya Chama chakavu............... Wakati Serikali hii dhaifu ya CCM Isiyojua Kufanya utafiti wa mambo kabla ya Kuyaropoka hadharani Ikidai kuwa "HATI ZA MUUNGANO" zipo Umoja wa Mataifa (UN), Umoja huo wa Mataifa umeikana Serikali ya Tanzania hadharani na kuweka wazi kuwa hakuna Ushahidi wa Jambo hilo..................... Taarifa zilizolifikia Gazeti la Tanzania Daima Jumapili 06/04/2014 kutoka kwa Ofisa wa Masuala ya Sheria na Mikataba ya Umoja wa Mataifa Bw.Andrei Kolomoets, zilibainisha kuwa hakuna Ushahidi wa Sekretarieti ya Umoja huo kuzisajili hati hizo........... Kolomoets aliendelea kubainisha kuwa, kama hati hizo zingekuwa zimesajilia na Umoja wa Mataifa, kungekuwa na Kumbukumbu zake.......... My Intake:Enzi za Mwalimu, mambo yalipelekwa Simple...hivyo naomba kila mmoja wetu akumbuke kwamba, hati yetu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni UDONGO aliouchanganya Mwalimu Nyerere Tarehe 26/04/1964.
Nilisema zamani humu, Nyerere hakuna moja lenye maana aliloifanyia hii nchi nyinyi mnaniona mbaya. Haya sasa, jibuni.
Nilisema humu siku nyingi sana, wale wa zamani watakumbuka, Nyerere kaiuwa nchi, nikatukanwa, nikasemwa, nikaletewa kila aina ya kejeli. Sasa nawauliza Tangayika ni nani aliyeiuwa?
Mkinijibu mniombe na msamaha, kwa matusi yenu na kwa kuwa nilisema Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa nchi. Leo kiko wapi?
Wale wote wanaomtetea Nyerere leo hii ndiyo wapo mstari wa mbele kuitafuta Tanganyika.
Kulikoni? leo hamtaki kuzienzi fikra na maamuzi ya Nyerere?
Toka nimeanza kusoma reply zako leo nimekuelewa vizuri.Nakuunga mkono kwa hili mkhekuu.
This is chasing shadows, blame game and never take responsibilities sickness..., kama aliyeharibu nchi ameshafariki, Je sasa nchi ni nzuri kuliko alivyokuwepo ? au nchi ilikuwa nzuri kabla hajaingia madarakani ? au kwanini isiwe nzuri sasa ameshaondoka ?Nilisema zamani humu, Nyerere hakuna moja lenye maana aliloifanyia hii nchi nyinyi mnaniona mbaya. Haya sasa, jibuni.
Nilisema humu siku nyingi sana, wale wa zamani watakumbuka, Nyerere kaiuwa nchi, nikatukanwa, nikasemwa, nikaletewa kila aina ya kejeli. Sasa nawauliza Tangayika ni nani aliyeiuwa?
Mkinijibu mniombe na msamaha, kwa matusi yenu na kwa kuwa nilisema Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa nchi. Leo kiko wapi?
Wale wote wanaomtetea Nyerere leo hii ndiyo wapo mstari wa mbele kuitafuta Tanganyika.
Kulikoni? leo hamtaki kuzienzi fikra na maamuzi ya Nyerere?
Njija Munyampaa, njija.
Nilisema zamani humu, Nyerere hakuna moja lenye maana aliloifanyia hii nchi nyinyi mnaniona mbaya. Haya sasa, jibuni.
Nilisema humu siku nyingi sana, wale wa zamani watakumbuka, Nyerere kaiuwa nchi, nikatukanwa, nikasemwa, nikaletewa kila aina ya kejeli. Sasa nawauliza Tangayika ni nani aliyeiuwa?
Mkinijibu mniombe na msamaha, kwa matusi yenu na kwa kuwa nilisema Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuiuwa nchi. Leo kiko wapi?
Wale wote wanaomtetea Nyerere leo hii ndiyo wapo mstari wa mbele kuitafuta Tanganyika.
Kulikoni? leo hamtaki kuzienzi fikra na maamuzi ya Nyerere?
upo sahihi mkuu.
Karume alikubali muungano kwa kuwa lilikuwa sharti la Nyerere ili apewe nchi ya Zanzibar kwani mganda ndo alieongoza mapinduzi wakati Karume alikuwa anakula urojo mchambawima