Ndio walipotufikisha na bado tunadanganywa kuwa serikali yetu ni sikivu wakati watoto wetu wanataabika mashuleni. Huku vigogo wachache wakiyalalia mabilioni (ndio magodoro yao) na kutudanganya kuwa tumejenga shule kila kona ya nchi. Si bora uwe na shule kumi Tanzania nzima lakini zikawa na huduma zote muhimu kuliko kuwa na 100 pasipo kuwa na huduma yoyote. Endeleeni kutuimbia serikali sikivu huku wananchi wanateseka katika nchi yao na hapa JF kuna wengine wanapiga domo utafikiri hawayaoni haya yanayofanyika.
IMG_4029.JPG (92.9 KBI)
IMG_4045.JPG (104.2 KB)
IMG_4029.JPG (92.9 KBI)
IMG_4045.JPG (104.2 KB)