Serikali Sikivu CCM

Serikali Sikivu CCM

Hii ya kwako ni ya ngapi? Ni dhambi kuwa na ID zaidi ya moja? una uhakika gani kuwa nina ID zaidi ya moja?
Kuwa tetea mafisadi kwako sio dhambi ila kuwa na id nyingi ni dhambi. Na kama mnazo hamta weza shindana na kweli.
 
CCM inatuibia madini mengi ikishirikiana na wawekezaji uchwara huku wananchi wakitaabika sana inasikitisha sana,oneni mashimo hayo
madini.JPG

Huku wazawa wakiumia sana inasikitisha MUngu utuhurumie sana sie waja wako
madini2.JPG
CCM kumbukeni mtaonja nanyi mauti{tears on my eyes}
 
fedha ambazo hawa akinamama wangejengewa Wadi ya kujifungulia, Mbowe kajengea Hekalu Dubai!

Sasa mbowe yupo serikalini?wewe ni kilazaaaaaaa,,,mkubwa sanaaaaaaaaaaaaa,,,,tumia akili,,,,viongozi walioko madarakani ndio waliotupeleka hapa tulipofikia sasa,,,,waondoke wawapishe watu wenye uwezo wa kuongoza nchi,,,CCM awana jipya tena ndani ya nchi hii,,,,nguvu zao zimeishia hapo,,,,,
 
tunahitaji uzalendo lakini kuna watu wanaleta ushabiki iko wazi kuwa nchi yetu inadumaa kimaendeleo sababu ni wizi unaofanywa na viongozi wa serikal mifano ni mingi, sasa huyu Msalani sijui nae yuko ndani ya system tambua hata somalia iko hapo ni kwa sababu kuna watu hawakukubaliana na tawala zilizokuwepo wakaamua kutafuta haki kwa nguvu hivyo kupelekea somalia kuwa uwanja wa vita na kwa sababu haki na Amani havitafutwi kwa mda mfupi kuna siku somalia itakuwa taifa imara mfano USA,FRANCE,UK,RUSSIA,SPAIN& so far zote zimetoke huko
 
Sasa mbowe yupo serikalini?wewe ni kilazaaaaaaa,,,mkubwa sanaaaaaaaaaaaaa,,,,tumia akili,,,,viongozi walioko madarakani ndio waliotupeleka hapa tulipofikia sasa,,,,waondoke wawapishe watu wenye uwezo wa kuongoza nchi,,,CCM awana jipya tena ndani ya nchi hii,,,,nguvu zao zimeishia hapo,,,,,
Wewe ndio hutumii akili..sio lazima uwe serikalini ndio ukwamishe maendeleo ya Nchi, Mbowe katumia fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa kutoka serikalini kujengea Hekalu huko Dubai! umeelewa sasa?
 
Ndio walipotufikisha na bado tunadanganywa kuwa serikali yetu ni sikivu wakati watoto wetu wanataabika mashuleni. Huku vigogo wachache wakiyalalia mabilioni (ndio magodoro yao) na kutudanganya kuwa tumejenga shule kila kona ya nchi. Si bora uwe na shule kumi Tanzania nzima lakini zikawa na huduma zote muhimu kuliko kuwa na 100 pasipo kuwa na huduma yoyote. Endeleeni kutuimbia serikali sikivu huku wananchi wanateseka katika nchi yao na hapa JF kuna wengine wanapiga domo utafikiri hawayaoni haya yanayofanyika.
IMG_4029.JPG (92.9 KBI)
IMG_4045.JPG (104.2 KB)
attachment.php

attachment.php

cc. ZeMarcopolo
 
Wewe ndio hutumii akili..sio lazima uwe serikalini ndio ukwamishe maendeleo ya Nchi, Mbowe katumia fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa kutoka serikalini kujengea Hekalu huko Dubai! umeelewa sasa?
Thibitisha haya madai yako, la si hivyo ondoa majungu yako.
 
Back
Top Bottom