Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua na shauku kubwa kuja.
Sasa mpira sio kupata kombe tu lakini tuutumie pia kama ushawishi wa kila team kutamani kuja Tanzania ,utalii uongezeke kwa kiki ya fans wa mpira. Tumsaidie mama wizara ya michezo kuleta wawekezaji via sport.