Kipi hupelekea taarifa zisizo sahihi kuhusu tanzia (vifo) hapa nchini?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Wasalaaam,

Hivi kuna umuhimu gani taifa:

(a) Kutangaza idadi isiyo sahihi kuhusiana na idadi ya watu wanaofariki kwenye majanga tofauti kama vile ajali za barabarani, vifusi migodini ama volkano milimani? Nimekuwa mmoja kati ya watu walioshuhudia moja ya majanga hapa nchini. Idadi ni kubwa kulinganishwa na ile inayotangazwa.

(b) Kutangaza tarehe isiyo rasmi ya vifo vya viongozi ama waliowahi kuwa viongozi wakubwa katika nchi. Maake chokochoko za tanzia hizo tunaanza kuzipata wiki mbili kabla ya vifo rasmi kutangazwa.

Ni hayo tu:
Roho za marehemu wote waliotutoka zipate rehema kwa Mungu, zipumzike kwa amani. Amin

R.I.P Edwar Lowassa
R.I.P Ally Hassan Mwinyi
 
Na la zaidi ni watu kufurahia vifo vya viongozi waandamizi wa serikalini tatizo sijui lilianzia wapi?
 
Wasalaaam,
Hivi kuna umuhimu gani taifa:

(a) Kutangaza idadi isiyo sahihi kuhusiana na idadi ya watu wanaofariki kwenye majanga tofauti kama vile ajali za barabarani, vifusi migodini ama volkano milimani? Nimekuwa mmoja kati ya watu walioshuhudia moja ya majanga hapa nchini. Idadi ni kubwa kulinganishwa na ile inayotangazwa

(b) Kutangaza tarehe isiyo rasmi ya vifo vya viongozi ama waliowahi kuwa viongozi wakubwa katika nchi. Maake chokochoko za tanzia hizo tunaanza kuzipata wiki mbili kabla ya vifo rasmi kutangazwa

Ni hayo tu:
Roho za marehemu wote waliotutoka zipate rehema kwa Mungu, zipumzike kwa amani. Amin

R.I.P Edwar Lowassa
R.I.P Ally Hassan Mwinyi
CCM imeingiza vifo kwenye siasa za ushindi.
 
Walitaka wamalize kwanza sintofahamu iliyokuwepo kwenye familia
Maana yake ni nini? kwamba tarehe ya kifo cha mheshimiwa ni ile iliyotangazwa jana ama ya kipindi ambacho yule R Chuga aliyotandikwa ngumi jiweee. maake nasikia za ndani ndani ni kuwa, ule muda yule jamaa anadondoshwa kwa ngumi jiwee, ndo huo huo muda rais mstaafu alikuwa anadondoka pale Muhimbili
 
Back
Top Bottom